mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
UmelegeaIle suruali haina mkanda au??
Labda kama anapikia watoto tena wasiozidi wawili
Anhaa kuumbe!!Umelegea
[emoji3]Anhaa kuumbe!!
Mavazi> Mwanaume wa Dar
Umelegea
SASA UNAINGIA MKOA WA MARA,HUKO KWETU HAKUNA UVIVU AU KUBABAISHWA,MWANAMKE AKILETA ZENGWE TUNAKATA NA KUFUNUA MAMAAAEE.DONA HILO LINLIWA NA KICHURI CHA MBUZI.
Poti umetuaibisha au kama sio hivyo una vinasaba vya wanamme wa dar. Unavaa mtepesho tako na chupi nje nje,watu wa mkoa wa mara ambao hatuna vinasaba vya wanamme wa dar huwa hatuvai mtepesho,je ukicheza ritungu au embegete au ekesa au rilandi au indono au jidogori si itadondoka.vaa vizuri unatuaibisha bunda hatuko hivyo
Wanaume wa huko ndio mnapenda kuinama wakati.suruali zipo magotini?!!!