heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,040
- 13,367
ASALAAM WAKUU,
Ni hivi nina mchumba nipo nae mwaka wa tatu hu, tatizo kubwa ndio hilo yaani aibu kwangu haikatiki tangu nimtokee, athubutu kuongea nami live ila kwenye simu tu anaongea maneno elfu kidogo, na pia nikikutana nae kama kuna uwezekano lazima anikwepe haniangalii usoni mara mbili, kinacho nikera akiwa na watu wengine ni muongeaji mzuri tu. wenye EXPIRIENSI nishaurini dawa yake