jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Habari kwenu wana JF
Hivi ukiwa umetulia zako unajisomea gazeti mara ikaingia text kwenye simu yako inasomeka "kuanzia leo mimi na wewe basi usinitafute"
Kwa mshangao unajibu kumwambia sababu ni nini mpaka achukue uamuzi huo,anakurudishia majibu samahani mpenzi msg nimekosea sikua nakutumia wewe.
Utafanya nini?