Kuna mwanamke nampenda ila ana mtoto

Kuna mwanamke nampenda ila ana mtoto

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,587
Mimi ni kijana nilikuwa nasoma nje ya East Africa na nilikutana na huyu mwanamke katika mazingira ya kusaidiana maana mi nilikuwa mwenyeji katika mji huo na alikuja katika eneo karibu nilikokuwa naishi yani jirani tu.

Sasa katika heka heka zangu za ubachela nilipata hamu ya ku share nae kitanda. Japo tulikuwa wengi tunafukuzia ila mimi nilibahatika kula tunda. Sasa wakati siku zinaenda alitokea kunipenda sana kuliko hadi kiasi akahisi mimi ndo mumewe japo wote tulikuwa chuo.

Kwakuwa hali yake ya kiuchumi haikuwa poa sana tukawa tunasaidiana japo na mimi niko chuo. Kipindi cha kodi la pango kilipofika ikabidi kuumiza kichwa ili kulipa sasa nikaona njia sahihi ni kuongea na huyo mtoto ili kama ikifaa na kwakuwa tumependana tusaidiane kulipa yani tukae pamoja nyumba ambayo nilikuwa naishi yeye ahamie kwangu na uzuri alikubali maisha yakaenda.

Sasa baada ya kukaa kwa muda mrefu tulianza kupeana story kujuana vizuri kiundani ndo akanipa story kuwa alikuwa na mtu wake wa kwanza na alimpenda na jamaa alimlazimisha kuzaa mtoto na jamaa alikuwa na advantage kwakuwa alikuwa anafahamika kwa upande wa kina binti kuwa ni wapenzi (nafupisha). Baada ya muda manzi alikuja kujua kuwa jamaa ana watoto zaidi ya 6 kutoka wanawake tofauti na yeye akiwemo na wamepishana kujifungua kwa mwezi moja hadi miwili.

Sasa wameachana mwaka sasa na na pia baba wa binti amesema hataki kumsikia huyo jamaa hata kidogo na manzi anadai kuwa hataki tena nae kumsikia hata kidogo.

Nimekaa nae kweli ana mapenzi mazuri na pia sio msiri hata kidogo kila jambo ananiambia hanifichi na pia ni mkali sana hapendi kutaniwa na wanaume hata nikiwa sipo hapendi mazoea.

Naomba Ushauri:
Manzi ananingangania kuwa mimi ndo mume wake na angependa tuishi wote na yuko tayari kunipa hata mtoto. Mimi sasa wasiwasi wangu ni kuhusu huyo jamaa yake wa zamani na kuhusu mtoto. Nilimwambia kuhusu kumuacha mtoto kwa mama akadai hapana lazima aishi nae kwa hali yoyote.

Pia tumelingana miaka tumepishana mwezi tu na yeye ana somea ualimu wa secondary na sifa ya mwisho anajua kubana matumizi na hapendi kutumia pesa vibaya hasa swala la starehe.

Je atanifaa kwa maisha?
 
umeleta hapa ili tukuchagulie mke au ?
 
Kama nakuona vile unavyo ji ingiza king.
 
Swala la mke unakuja kuomba ushauli jamii forum..,? Upo siriaz kweli.. Tukikwambia umuowe kesho utakuja tena kuomba ushauli je nizae nae?
 
mtt tuu ndio iwe kikwazo....??
au kuna jingine...!!!!!

Kimkadashian alicheza movie za uchi ila mdogo angu kanye akaja kuchukua zigo na maisha yanaenda
 
Mimi ni kijana nilikuwa nasoma nje ya East Africa na nilikutana na huyu mwanamke katika mazingira ya kusaidiana maana mi nilikuwa mwenyeji katika mji huo na alikuja katika eneo karibu nilikokuwa naishi yani jirani tu.

Sasa katika heka heka zangu za ubachela nilipata hamu ya ku share nae kitanda. Japo tulikuwa wengi tunafukuzia ila mimi nilibahatika kula tunda. Sasa wakati siku zinaenda alitokea kunipenda sana kuliko hadi kiasi akahisi mimi ndo mumewe japo wote tulikuwa chuo.

Kwakuwa hali yake ya kiuchumi haikuwa poa sana tukawa tunasaidiana japo na mimi niko chuo. Kipindi cha kodi la pango kilipofika ikabidi kuumiza kichwa ili kulipa sasa nikaona njia sahihi ni kuongea na huyo mtoto ili kama ikifaa na kwakuwa tumependana tusaidiane kulipa yani tukae pamoja nyumba ambayo nilikuwa naishi yeye ahamie kwangu na uzuri alikubali maisha yakaenda.

Sasa baada ya kukaa kwa muda mrefu tulianza kupeana story kujuana vizuri kiundani ndo akanipa story kuwa alikuwa na mtu wake wa kwanza na alimpenda na jamaa alimlazimisha kuzaa mtoto na jamaa alikuwa na advantage kwakuwa alikuwa anafahamika kwa upande wa kina binti kuwa ni wapenzi (nafupisha). Baada ya muda manzi alikuja kujua kuwa jamaa ana watoto zaidi ya 6 kutoka wanawake tofauti na yeye akiwemo na wamepishana kujifungua kwa mwezi moja hadi miwili.

Sasa wameachana mwaka sasa na na pia baba wa binti amesema hataki kumsikia huyo jamaa hata kidogo na manzi anadai kuwa hataki tena nae kumsikia hata kidogo.

Nimekaa nae kweli ana mapenzi mazuri na pia sio msiri hata kidogo kila jambo ananiambia hanifichi na pia ni mkali sana hapendi kutaniwa na wanaume hata nikiwa sipo hapendi mazoea.

Naomba Ushauri:
Manzi ananingangania kuwa mimi ndo mume wake na angependa tuishi wote na yuko tayari kunipa hata mtoto. Mimi sasa wasiwasi wangu ni kuhusu huyo jamaa yake wa zamani na kuhusu mtoto. Nilimwambia kuhusu kumuacha mtoto kwa mama akadai hapana lazima aishi nae kwa hali yoyote.

Pia tumelingana miaka tumepishana mwezi tu na yeye ana somea ualimu wa secondary na sifa ya mwisho anajua kubana matumizi na hapendi kutumia pesa vibaya hasa swala la starehe.

Je atanifaa kwa maisha?
Kama hataki kumuacha mtoto naye mpige chini.. Huwezi lea mtt sio wako chini ya paa lako ihali baba yake yuko hai...
 
Single mother me hata sikushaur maana athari yake hutaiona leo ila baadae mkizoeana baada ya miaka mitano ya ndoa utakuja kurud kusoma coment yangu
 
Wewe je unampenda? Ukiondoa hilo swala la mtoto na baba mtoto moyo wako uko tayari kwake?
 
Mkuu swala LA kuoa na kuamua yupi anafaa kwa kuoa ni lako binafsi.
Kamna mnapendana na mmedhamiria wote sio kwa kutamaniana Bali ni upendo Wa dhat
Fanya hima umuoe. Changamoto ya mtoto au Huyo ex wake niwewe kukata mawasiliano na Huyo ex.
Oa.
 
Mimi ni kijana nilikuwa nasoma nje ya East Africa na nilikutana na huyu mwanamke katika mazingira ya kusaidiana maana mi nilikuwa mwenyeji katika mji huo na alikuja katika eneo karibu nilikokuwa naishi yani jirani tu.

Sasa katika heka heka zangu za ubachela nilipata hamu ya ku share nae kitanda. Japo tulikuwa wengi tunafukuzia ila mimi nilibahatika kula tunda. Sasa wakati siku zinaenda alitokea kunipenda sana kuliko hadi kiasi akahisi mimi ndo mumewe japo wote tulikuwa chuo.

Kwakuwa hali yake ya kiuchumi haikuwa poa sana tukawa tunasaidiana japo na mimi niko chuo. Kipindi cha kodi la pango kilipofika ikabidi kuumiza kichwa ili kulipa sasa nikaona njia sahihi ni kuongea na huyo mtoto ili kama ikifaa na kwakuwa tumependana tusaidiane kulipa yani tukae pamoja nyumba ambayo nilikuwa naishi yeye ahamie kwangu na uzuri alikubali maisha yakaenda.

Sasa baada ya kukaa kwa muda mrefu tulianza kupeana story kujuana vizuri kiundani ndo akanipa story kuwa alikuwa na mtu wake wa kwanza na alimpenda na jamaa alimlazimisha kuzaa mtoto na jamaa alikuwa na advantage kwakuwa alikuwa anafahamika kwa upande wa kina binti kuwa ni wapenzi (nafupisha). Baada ya muda manzi alikuja kujua kuwa jamaa ana watoto zaidi ya 6 kutoka wanawake tofauti na yeye akiwemo na wamepishana kujifungua kwa mwezi moja hadi miwili.

Sasa wameachana mwaka sasa na na pia baba wa binti amesema hataki kumsikia huyo jamaa hata kidogo na manzi anadai kuwa hataki tena nae kumsikia hata kidogo.

Nimekaa nae kweli ana mapenzi mazuri na pia sio msiri hata kidogo kila jambo ananiambia hanifichi na pia ni mkali sana hapendi kutaniwa na wanaume hata nikiwa sipo hapendi mazoea.

Naomba Ushauri:
Manzi ananingangania kuwa mimi ndo mume wake na angependa tuishi wote na yuko tayari kunipa hata mtoto. Mimi sasa wasiwasi wangu ni kuhusu huyo jamaa yake wa zamani na kuhusu mtoto. Nilimwambia kuhusu kumuacha mtoto kwa mama akadai hapana lazima aishi nae kwa hali yoyote.

Pia tumelingana miaka tumepishana mwezi tu na yeye ana somea ualimu wa secondary na sifa ya mwisho anajua kubana matumizi na hapendi kutumia pesa vibaya hasa swala la starehe.

Je atanifaa kwa maisha?
Umeshampenda ushauri wa nini tena, chukua hilo toto litakufaa
 
Kwani umependana na mtoto au mama mtu?

Endelea na zoezi lako. Yaani mtoto ndio akwamishe mahusiano yako?
 
Back
Top Bottom