samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,232
Yaani kila akiolewa au ukiwa mchepuko wa mtu huyo mume anakufa kiajabuajabu kimazingara. Na dawa yake nini.na kuna jina maalumu kwa hao?
HahhahahahhahahaKanisani au msikitini..... Usiende kwa mganga maana nae atakuongezea jini kichaa kabla jini mauti hajakumautia jini kichaa anapanda
Unamzungumzia lulu?Yaani kila akiolewa au ukiwa mchepuko wa mtu huyo mume anakufa kiajabuajabu kimazingara. Na dawa yake nini.na kuna jina maalumu kwa hao?
Yaani umenifanya nicheke!Kanisani au msikitini..... Usiende kwa mganga maana nae atakuongezea jini kichaa kabla jini mauti hajakumautia jini kichaa anapanda
Mmhh hii aione mshana jr
ngoja tuone
cc mshana jr
Hii kitu ipo na wengi wanajulikana kama malaika wa kifo lakini pia kuna ishu ya majini hapo inahusikangoja mshana atoe msata wana kikao usiku huu