estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Miaka ya nyuma nilikuwa na mahusiano na mpenzi wangu tulibahatika kupata mtoto 1 lakini bahati mbaya tulikuja achana kila mtu akaendelea na maisha yake, huyu mzazi mwezangu akaja kupata mwanamke.
Sasa nakuja kushangaa huyu mwanamke anapenda sana kunifwatilia kwenye mitandao ya kijamii hivi ninavyoandika kani request kwenye FB kwa mara ya pili, instagram alini follow sasa sijui ni nini tatizo kwa wale wenye kujua ni nini lengo la huyu mwana mama mana nishamchoka.