Mwanamke mrefu

Mwanamke mrefu

MUGASHA THE HERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
327
Reaction score
205
Kuna rafiki angu ni mfupi wa kati lakini amempata binti wa kichaga ambaye anaupendo sana kwake lakini ni mwembamba alafu ni mrefu kidogo dhidi yake. Jambo la kushangaza ni kwamba mwanaume anasema hawez kumuoa mwanamke aliyemzidi urefu hata kama anaupendo wa dhati.

SWALI KWENU WADAU.
Je ni vibaya kwa mwanaume mfupi kuoa mke aliyemzidi urefu?
 
Kiupendo Nadhani Hakuna Tatizo Lolote, Ila Kimuonekano Binafsi Naona Haivutii Mwanamke Kuwa Mrefu Sana Kuliko Mwanaume.
 
tena alipaswa kufurahi kumpata mrefu mana atabalance watoto na huo ndio utaratibu ulipoo mme mfupi anatakiwa mke mrefu mwambie asiache huyo manzi
 
Ye amepata mrefu mwenye moyo wa upendo wa dhat analeta mbwembwe. Ngoja apate saiz anayotaka ila gumegume
 
tall_baltic_woman_compare_by_lowerrider-d83j72j.jpg


swissme
 
Ngoja akipa andunje kama yeye amtie adabu Ndio atajua mjinga kweli Huyo jamaa
 
sasa aimtongoza wa nini kama anajua hawezi kumuoa
 
Asa kama ye mfupi akioa mfupi zaidi ake si watazaa vitoto vifupi kama mavi ya mwisho?
 
Jamaa ameathilika kisaikolojia anaitaj ushaur WA kumjenga kimawazo...
 
Back
Top Bottom