Sielewi inakuaje, ila inanikera..

Sielewi inakuaje, ila inanikera..

Ng'egera

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
766
Reaction score
420
Habari wanajf
jamani mimi huwa napenda wanawake wenye maumbo membamba lakini nikianza nae mauhusiano ya kimapenzi hunenepa na kupoteza ule mvuto wake kwani nimekuwa nao zaidi ya wanne huwa hivyo hivyo,je hii hutokana na nini?
 
mi napenda pia ila nshamwambia kbsaaa sitaki unenepe nataka uwe na mwili wa kiutuzima tu umri wako ukifika ila mambo ya kutoka tumbo kubwaaaaa na chura kubwaaaa sitaki mi napenda kawowowo sio liwowowo..
wanawake wangu zaid ya 20 ni wembamba yaan mpk uwenikalili baby wao...nkipata bonge hatudumu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaona sifaaaa, mvulana wewe kama unapenda wembamba mbona unawaacha na wakipita wenye chura unageuza shingo?
 
Unaona sifaaaa, mvulana wewe kama unapenda wembamba mbona unawaacha na wakipita wenye chura unageuza shingo?
sasa mabonge sipendi jamani km umenipenda si ukonde kidogo mi nageukaga kwa mwanamke mwembamba mwwnye kaumbo kakichokozi kdg kamwe sio bonge nakipata bonge na lose interest kwahiyo konda thn njoo pm [emoji12]
na sio kwamba na waacha shape ,uzuri ni moja pili ni akili kichwani
 
Tengeneza wa kwako. Halafu we mwenyewe ukute ht mvuto huna!!!
 
Back
Top Bottom