Hii imekaaje, mbona mi sielewi?

Hii imekaaje, mbona mi sielewi?

kwetumasoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
866
Reaction score
518
Wana forum,

Habarini,

Kuna wanawake katika Jukwaa hili wamekuwa wakilalamika kwamba wanaume wenye vibamia hawawaridhishi kunako 6 X 6. Vile vile kuna wanaume ambao vile vile wakilalamika kuwa wanawake wamekuwa hawawaridhishi wakikutana nao kwa kuwa wana nyeti kubwa ni balaa, ukiingia tu ni kama pango la Amboni na lenye mafuriko na chemchemi kibao. Sasa hapo inakaaje?
 
Ukikutana na wa saizi yako tulia nae... acha kutaka kujua mwingine ana saizi gani...
 
Size kubwa n nzur,hakuna kusababishana michubuko,nazpenda sana hz
 
I love a woman with an average to big fleshy pu..y down there! Too small is uninteresting to some of us
 
huku watu wanatoaga stress tuu wengine wakiachika lazima waje kutoa shombo zao
 
Wasingizie mapango wala nini waambie wenzako wajitahidi kutunisha vibamia vyao
 
Wasio na shukrani kwa wazazi wao utawajua tu. Hivi unaamini ulizaliwa na mtu ka huyo unayemdhalilisha humu? Au nyiye wenzetu mlidondoka kutoka angani ka senene?? Acheni thread ka hizi zinatia kinyaa. Namheshimu sana mwanamke kwani ka si yeye nisingelikuwa hapa kwa keyboard nkitekenya button hizi.
Acheni kudhalilisha mwanamke, ni wa maana sana. Iwe Mtera iwe Sahara kwa ukavu yoote ni Muumba katengeneza na kazi yake kamwe hainaga makosa. Elewa, uliyemkuta na Mtera kazaliwa kajikuta hivyo, mshukuru kwa kukupanulia mguu wake. Uliyemkuta mkavu ka Sahara naye kazaliwa hivyo, mshukuru kakupanulia mguu wake pia. Hakupewa nafasi kujichagulia.
Acheni maneno ya kejeli kwa uumbaji ambao hakuna aliyeuchagua.
 
Sasa ambavyo wao wanavisema vibamia kwani hawakuzaliwa na vibamia! Hapa ni kuweka comparison tu!
 
Back
Top Bottom