Pete sio ndoa, funga miguu yako

Pete sio ndoa, funga miguu yako

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Mwanaume akikutongoza ukamwambia hamtafanya mapenzi kabla ya ndoa atarudi home atawaza, atakutafutia mchanga wa macho ili ulainike atajichanga atanunua pete la bati, atakusapraiz na washkaji wachache.

Ulivyo mwehu ukishavishwa pete unaota vipele a.k.a goosebumps na sentensi za kizungu cha Tandale,''wooow babe ur so rovely' unalainika unatanua mapaja, baada ya miezi mi3 unaona ka-upload picha ya mwanamke mwingine kama Whatsap Profile Picture.

Halafu anamuweka Instagram anaandika 'my number 1' basi home unafuka moshi kwa hasira hadi unatoa opvu kama umekunywa OMO na huo ndio mwisho wako. Ataongea kwa vitendo na mashoga zako wote wanakucheka na kusambaza habari zako kama Kirikuu.

Hao ndo wanaume aka majibwa, ukikosea principle tu, anabweka mara moja tu kisha anasepa baada ya mwezi unaivua pete yako ya bati unaiweka home kama makumbusho ya taifa halafu unatangaza wiki 1 ya maombolezo. Ndoa imefia njiapanda ya Morocco na utupu umeshawekwa alama,

PETE SIO NDOA, FUNGA MIGUU YAKO.

Ujumbe huu umeletwa na mbwa koko anayefanya kazi kwa waarabu Dubai.
 
Mkuu ur the best TCW (thread creature of this week) big up tnx
 
Hao ndo wanaume aka majibwa, ukikosea principle tu, anabweka mara moja tu kisha anasepa baada ya mwezi unaivua pete yako ya bati unaiweka home kama makumbusho ya taifa halafu unatangaza wiki 1 ya maombolezo. Ndoa imefia njiapanda ya Morocco na utupu umeshawekwa alama,

Ujumbe huu umeletwa na mbwa koko anayefanya kazi kwa waarabu Dubai.

Kuna jamaa anakula totozi hatari. Anasema yeye ni Mbwa hashikiki. Yeye ni kula tu, ndoa wasahau.
 
Ni heri kujitunza kuliko kuyaachia ma-jibwa a.k.a ma-mbwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yan we jamaa kama hawa mabint wangekua wanayafanyia kazi aya maneno yako wanaume tungeishi kwa shida sana
 
Back
Top Bottom