Wanawake Tumewashindwa..!!

Wanawake Tumewashindwa..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Ulimpomtongoza ili awe wako, alikujibu kwa
dharau, kwamba wewe ni mfupi na hana historia ya
kudate na Mbegu fupi asije akazaa kiberiti
bure... HAMAD! Miezi mi5 mingi, unamkuta
kakumbatiwa na kitu mithili ya Cousin wake Pepe
Kalle wanatoka Movie na hapo amevaa Flat shoes, akivaa High heels utadhani ni mtu anapiga picha
pembeni ya mnara wa simu..Na bila aibu anakwambia
Hi Meet my hubby ,kiruu..Sasa unajiuliza, alikukataa
wewe mfupi, yule atamuwekea Mbolea ya DDT au??
Wanawake wana Mbinu..Halafu huyo anayekwambia
hadate mbegu fupi ye mwenyewe ana urefu wa Megawati 52 tu...Mapenzi bwana!
 
Hahaha ha ha aisee kumbe daaah akafie mbele
 
Stunter is a second disaster to women after kibano cha uncle Magu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Baada ya MP, tatizo lingine wanawake wa jf wanalokumbana nalo linaitwa STUNTER THREADS SYNDROME...Hapa hata dr.J. Year hawezi kutatua hili tatizo....wacha nimwita Kigwangala.
 
CHAMITON Hiyo ndio thread yangu ya mwisho, siposti tena wallahi
 
We jamaa mbona una waandama saana wadada wa jf aisee,haipit ck hujawazungumzia
 
Inabidi utafakari labda anaongelea ufupi wa wallet yako. Inabidi wanaume tujiongeze muda mwingine
 
Ulimpomtongoza ili awe wako, alikujibu kwa
dharau, kwamba wewe ni mfupi na hana historia ya
kudate na Mbegu fupi asije akazaa kiberiti
bure... HAMAD! Miezi mi5 mingi, unamkuta
kakumbatiwa na kitu mithili ya Cousin wake Pepe
Kalle wanatoka Movie na hapo amevaa Flat shoes, akivaa High heels utadhani ni mtu anapiga picha
pembeni ya mnara wa simu..Na bila aibu anakwambia
Hi Meet my hubby ,kiruu..Sasa unajiuliza, alikukataa
wewe mfupi, yule atamuwekea Mbolea ya DDT au??
Wanawake wana Mbinu..Halafu huyo anayekwambia
hadate mbegu fupi ye mwenyewe ana urefu wa Megawati 52 tu...Mapenzi bwana!
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji2]
 
Kwanini tuaribiane watoto?we km ni mfupu pita kuleeee...
 
wewe kama umewachoka ni wewe mimi bado nawataka acha waning'ong'e mpk mfupa hakuna namna mbele ya utamu shinda asali..🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom