CompilerZeCoder
Member
- Oct 27, 2015
- 30
- 9
Yanini kuhangaika kuangalia ukubwa wa mguu, makalio na namna matiti yalivyokaa kwa mwanamke unayetaka kumuoa?Kwanini usiangalie ukubwa wa moyo wake katika kupenda na kustahimili?
Usisahau kwamba baada ya miaka kumi unaweza kukuta hana tena hilo kalio,
wala huo mguu au matiti yaliyokuvutia ila kama alikuwa na moyo wenye penzi na ustahimilizu basi hivi vitadumu ndani yake.
Kuwa makini kwenye nani wakuoa, wengi wameingia chaka na leo wanalia tena saana