Mfanye mkeo akuvutie, kukimbilia michepuko sio dawa

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,781
Reaction score
4,118
Salaam toka sakafuni mwa moyo wangu.

Wanaume wengi wanaingia katika mahusiano na kudumu kutokana na vigezo fulani anavyokua navyo msichana husika kwa wakati husika.

Inapofikia hatua ya ndoa wanawake wengi wanabweteka na kuacha kujiweka smart kama mwanzo kwakua wanaamini tayari wameshafunga pingu na hawana cha kupoteza.

Katika hatua hii utaona mwanamke haujali mwili wake (kiusafi) na kujipamba. Unaweza kuta sasa hata vizibo vyake vya asali (nguo za ndani) vingine vimefubaa ila hajali, anaviweka hovyo bila kukumbuka zamani alikua na vichupi special visafi vya kwendea kwa mpenzi wake. Mapishi yanakua mabovu hata mpangilio vya nyumba.

Dalili hizo na zingine zinapoota mizizi ndipo mwanaume anapoanza kung'aa macho mitaani kutafuta ubora ule wa mwanzo ambao sasa umepotea kwa mkewe.

Hii si hatua sahihi kwa mwanaume kufanya. Jambo jema ni kumuweka sawa mkeo na kumfanya awe kama mwanzo kwa kumhimiza au kumuwezesha kuwa mrembo.

Rejea maandiko matakatifu:

Mwanamke mjinga atavunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Salaam toka sakafuni mwa moyo wangu.

Wanaume wengi wanaingia ktk mahusiano na kudumu kutokana na vigezo fulani anavyokua navyo msichana husika kwa wakati husika.

Na mwanamme atavunja nyumba yake kwa umalaya na tamaa zake
 
KHAAAAA.... DAAAAAAH...

Kumbe WANAWAKE ndio wakogo hivi wanapoingia kwenye ndoa....

Hakiyanani ***** sioi mimi..
Nitabaki mtu wa kuwa GONGA kuwa BANJUA na kuwa TEMA tuu....
Hakuna namna sasa....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
"mwanamke mpumbaavu ataibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe" nlikuaga sijawahi kuona uwepo wa huu msemo I see now I see
 
Usafi n sehemu ya mtu kama mtu asili yke habadiliki hta aolewe lkn kama mtu alikuwa msafi ili aolewe ndo hao mnawaona kuna wanawake wasafi n hatarii
 
Salaam toka sakafuni mwa moyo wangu.

Wanaume wengi wanaingia ktk mahusiano na kudumu kutokana na vigezo fulani anavyokua navyo msichana husika kwa wakati husika.

Inapofikia hatua ya ndoa wanawake wengi wanabweteka na kuacha kujiweka smart kama mwanzo kwakua wanaamini tayari wameshafunga pingu na hawana cha kupoteza.

Katika hatua hii utaona mwanamke haujali mwili wake (kiusafi) na kujipamba. Unaweza kuta sasa hata vizibo vyake vya asali (nguo za ndani) vingine vimefubaa ila hajali, anaviweka hovyo bila kukumbuka zamani alikua na vichupi special visafi vya kwendea kwa mpenzi wake. Mapishi yanakua mabovu hata mpangilio vya nyumba.

Dalili hizo na zingine zinapoota mizizi ndipo mwanaume anapoanza kung'aa macho mitaani kutafuta ubora ule wa mwanzo ambao sasa umepotea kwa mkewe.

Hii si hatua sahihi kwa mwanaume kufanya. Jambo jema ni kumuweka sawa mkeo na kumfanya awe kama mwanzo kwa kumhimiza au kumuwezesha kuwa mrembo.

Rejea maandiko matakatifu:
Mwanamke mjinga atavunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Wakati mwingine mwanamke anaweza akawa mzuri mpaka anakera tatizo likawa tabia.
 
Bora uwaambie wanaume wapumbavu macho juuu,,, tamaa tu.

Kuna jamaa mmoja alikuwa anazoa mavi ya mkewe alipata ugonjwa wa ajabu, hadi akapona.
Mijanaume ya siku hizi, sahau kupiga mswaki asubuhi tu, utasikia unanukaaaaaaaaaa, je mavi ya mkewe ataweza kuzoa?, imalaanika, itabaki kununua machangu doa inayojipamba na kujiremba kuwatega mijanaume wapumbavu type,
 
KHAAAAA.... DAAAAAAH...

Kumbe WANAWAKE ndio wakogo hivi wanapoingia kwenye ndoa....

Hakiyanani ***** sioi mimi..
Nitabaki mtu wa kuwa GONGA kuwa BANJUA na kuwa TEMA tuu....
Hakuna namna sasa....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Wahurumie tu ndg yangu.
Jaribu kuwaelekeza vizuri wataelewa.
 
Wanaume wengi wanapenda mteremko...kuanza kumrudisha mkewe kwene mstari wanajioneaga why all the trouble wakat kuna vyombo vingine
Naamini nteremko una gharama yake, waweza kugharimu hata maisha.

Ujipendezesha chako hata ukiwa kazini unataman uwahi kurudi nyumbani umuone mkeo.
 
"mwanamke mpumbaavu ataibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe" nlikuaga sijawahi kuona uwepo wa huu msemo I see now I see
Kuishi kwingi, kuona mengi.
"Citation Vs Paraphrase."
 
Naamini nteremko una gharama yake, waweza kugharimu hata maisha.

Ujipendezesha chako hata ukiwa kazini unataman uwahi kurudi nyumbani umuone mkeo.
Inagharimu haswa..wenye akili ndogo utasikia nimerogwa hahahaa.
Maambukizi ya magonjwa ya zinaa,kufulia,stress...na ukipata mchepuko kama asha ngedere hata pressure unapata.
 
Back
Top Bottom