Wanaume wanaopenda maringo

Wanaume wanaopenda maringo

Somoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
754
Reaction score
282
Hivi kwanini wanaume wengine munapenda mwanamke mwenye maringo, miondoko, anae jiona, anae jidai, anae jivuna, anae jisikia, nk?
Inafaida gani hivi? na kwanini munapenda hivo, hayo maringo ya mwanamke?

Labda itanisaidia na mie kuelewa..............
 
kama unahis tunavutiwa zaid na hivyo vitu! huenda uko sahihi! mwanaume akiwa na tabia hzo ulizozitaja tutakuwa na shaka na uanaume wake, kwaiyo izo ni tabia za kike, kama we hauna izo kuna vtu wanakuzidi wenzio!
 
Hivi kwanini wanaume wengine munapenda mwanamke mwenye maringo, miondoko, anae jiona, anae jidai, anae jivuna, anae jisikia, nk?
Inafaida gani hivi? na kwanini munapenda hivo, hayo maringo ya mwanamke?

Labda itanisaidia na mie kuelewa..............
wenywe wana sema kuringa suna
 
mie napenda uku nyuma paki vibrate kama tetemeko la kagera basi mie hoi tabaani napata kihoro
 
Back
Top Bottom