Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Hii ni Special Thread ya kutafuta
wachumba,
Marafiki
Mume Bora
Mke Bora
Ulimwenguni kote.
Mnakaribishwa bila UBAGUZI
wowote.
AKINA DADA MNAKARIBISHWA
NAWAPA MOYO ZAIDI KUTEMBELEA
HAPA........
Wanaume Nao mnakaribishwa
Nimefanya iv kutokana na watu wengi kufungua thread nyingi sana za kutafuta wenzi
Mod plz thread za Namna iyo huwe unaziunganisha humu
Nawapenda Nyote Mwaaaaaaahhhh[emoji8] [emoji8] [emoji8]