Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta mrembo humu JF,tusomane kwa miezi 6 kwanza. 1.Bill ya nyumba alipe miezi 3 na Mimi nitalipa miezi 3 jumla miezi 6 ya kujifunzana tabia. Tukikoleana tufunge harusi. Nimechoka kuishi...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Nikiwa nipo shule best wangu alinifata na kutaka kuongea na mimi, Aliniambia kuna demu kishamtokea mara kadhaa lakini anamtolea nje. Kwahiyo alitaka mimi nimtokee huyu demu ili nile mzigo na...
4 Reactions
65 Replies
8K Views
Habari za jioni wadau! Hii kweli kali nimeona niwashirikishe wadau wenye wachumba au wake! Inashangaza kama si kustaajabisha na kuchefua na kukera kama mwanamke kila siku ukinunua kitu au vitu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu, Zamani kabla sijawa na watoto, nilikuwa nakaa kwa bro ambaye ndiye alienisomesha na kunitafutia ajira. Jirani yetu kulikuwa na familia ya mtu ambaye alichelewa kupata watoto...
5 Reactions
139 Replies
10K Views
Ni ngumu kusahau tukio kama hili, unaweza sahau migegedo mingine lakini hili hutakaa usahau hata ufike miaka 90. Ilikuwa mwaka 2007 nikiwa form two majira ya saa 2 usiku nikiwa natoka dukani...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
habari za masiku? tangu niage humu kwa post zangu likizo yangu imekuwa na amani sana japo kuna hili jambo limenitatiza kiakili sana hadi kujikuta ninarudi tena humu jamvini kuwatafuta wenye...
3 Reactions
81 Replies
6K Views
Ambonyi, Waungwana, naomba nawaambie nilichofikia Kama maamuzi baada ya kukusanya taarifa kutoka kwenye ndoa kadhaa za ndugu Jamaa na marafiki zangu. Wakulu, na haswa wanaume wenzangu Ikitokea...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Bwana Yesu apewe sifa watanganyika wenzangu! Wakuu, Mimi ukweli huwa siko comfortable kabisa kudate mdada kipanga zaidi yangu, mfano mimi form 4 nilipata div 1.16, form 6 nilipata 1.7 na chuo...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Dada alikuwa airport akisubiri connetion ya ndege yake, wakatangaziwa ni 2 hrs waiting time. Akaamua kununua gazeti na box Dogo la biscuits, akatafuta sehemu akakaa kusoma gazeti kusubiri muda...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta mchumba mwanamke awe mkristo mwenye umri kata ya miaka 20-23 umri Wang 25yrs tuwasiliane atakayekuwa tyr mm muajiliwa serikalini 0745645518
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nothing good is easy! Pamoja na changamoto zote mbalimbali zinazoweza kujitokeza katika ndoa, kati yenu kama na mke na mume, ndoa bado ni jambo la maana sana na hekima kulifanya mwanadamu. Kuoa...
1 Reactions
0 Replies
973 Views
Wanawake mnapuyanga sana siku ya harusi, sijui usoni mnapakaga manini mnaonekana hovyo hovyo km mmepakwa chokaa, sijui mnapakaga rangi za nyumba hata hamueleweki. bibi harusi kasura kanakuwa kama...
1 Reactions
17 Replies
10K Views
MTAG UMPENDAE ALAFU UMWAMBIE UNASINZIA UKIMUWAZA Oh oh (6x) ! ad lib This is for the lovers in the house Ndani ya nyumba Tafuta mpenzi lako Mshike kwa mikono Ha, mwangalie ndani ya macho Hmm, ah...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Faida za mpenzi pombe 1.Hana wivu hata kama nimeweka nne mezani 2.Nampata muda wowote nnaotaka 3.Hana safari safari za shopping 4.Naweza tukashare na rafiki yangu na moyo ukatulia 5.Nikiwa sina...
4 Reactions
70 Replies
6K Views
Wakati wanaume wengi tukitafuta ni jinsi gani tuweke heshima kunako 6 kwa 6(kukabiliana na upungufu wa nguvu za kiume)..wanawake nao wanahangaika kumtafuta chura aliko ili waweke heshima kwa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
1. Upigaji wa punyeto 2. Wanawake kutokufikishwa kileleni 3. Wanaume, hasa vijana, kuwa na matatizo ya uume, kwa mjibu wa malalamiko ya wanawake, hasa humu: uume mdogo kama njiti ya kiberiti...
9 Reactions
43 Replies
6K Views
Mwanamke yeyote yule ukimskia analia lia njaa ujue huyo ni mpuuzi na mjinga. Awe wa kawaida lazima atakua na wanaume wanammendea tuu, na wale warembo ndo kabisa hawakamatiki yani hawa utakuta...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Huu ni ushauri wangu kwako. Zipo aina nne za mavazi katika maisha; 1. Sare ya shule 2. Joho la graduation 3. Gauni ya harusi 4. Rinda la mjamzito NB. 1. Hata hivyo, kama ukiruka ya 1, hutopata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari yenu wadau poleni na majukumu natafuta mtu wa kubadilishana nae mwazo nawakaribisha wote awe mwanamke au mwanaume.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…