Huwa siko comfortable kudate mdada aliyenizidi marks za shule

Huwa siko comfortable kudate mdada aliyenizidi marks za shule

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,072
Reaction score
16,625
Bwana Yesu apewe sifa watanganyika wenzangu!

Wakuu,

Mimi ukweli huwa siko comfortable kabisa kudate mdada kipanga zaidi yangu, mfano mimi form 4 nilipata div 1.16, form 6 nilipata 1.7 na chuo nilipata lower second so huwa naprefer zaidi kudate mtu aliyepata marks za chini yangu au zinazokaribiana.

Sasa sijui nina inferiority complex au nina maradhi gani wakuu?
 
yule mtaalam wa kuomba picha hapa ndio penyewe sasa apewe photo ya vyeti.....hatari sana...
 
mm mke wng sote tumesoma couse moja sema mwaka tofauti mm nina lower yy na fist na sishangai.....naj
 
Kwahiyo wakati unataka kumtongoza unatafuta kwanza information zake kimasomo au vipi?
Na kama ushamaliza shule ukimtongoza unamuuliza alipata div ngapi 4&6 na GPA yake ya chuo au mimi ndo sielew
 
Salamu zingine tuwe tunaangalia na mada inayoongelewa.
 
Una superiority complex!
Mtu kama wewe huwezi kufurahi kua na mwanamke aliekuzidi umri au amekuzidi kipato u elimu.
Ni man ego at work!
Duuh! Kumbe first class yangu itanifanya nikose mume!
 
safi kabisa upo sahihi ukiish na dem anaekuzidi darasa ata mkigombana akikufonya kw dharau utaisi ni kwa sababu kakupita darasa kumbe ni ujinga wako mwenyewe teh teh teh
 
Mimi mwanamke asinizidi umri na kutafuta pesa tuuu digree zingune za chupi 2
 
Kwahiyo wakati unataka kumtongoza unatafuta kwanza information zake kimasomo au vipi?
Na kama ushamaliza shule ukimtongoza unamuuliza alipata div ngapi 4&6 na GPA yake ya chuo au mimi ndo sielew

Hahahahaaa!, 😀😀
 
Una superiority complex!
Mtu kama wewe huwezi kufurahi kua na mwanamke aliekuzidi umri au amekuzidi kipato u elimu.
Ni man ego at work!
Duuh! Kumbe first class yangu itanifanya nikose mume!
We acha tu.

Mwanamke ukisoma shida, usiposoma shida.

Sasa naelewa kwa nini nilipokuwa sekondari na chuo nilikuwa sitongozwi hovyo hovyo.

Maana mimi ndo nilikuwa kipanga wa darasa....Teh
 
We acha tu.

Mwanamke ukisoma shida, usiposoma shida.

Sasa naelewa kwa nini nilipokuwa sekondari na chuo nilikuwa sitongozwi hovyo hovyo.

Maana mimi ndo nilikuwa kipanga wa darasa....Teh
Kumbe na wewe ndo wale vimbelembele wenzangu! [emoji12] [emoji12] [emoji12] kutwa kuwafanya wakaka wajione vi.la.za darasani kwasababu msichana anaongoza.
 
Back
Top Bottom