Heinrich Himmler
Member
- May 20, 2013
- 71
- 151
Wakuu heshima kwenu,
Zamani kabla sijawa na watoto, nilikuwa nakaa kwa bro ambaye ndiye alienisomesha na kunitafutia ajira. Jirani yetu kulikuwa na familia ya mtu ambaye alichelewa kupata watoto hivyo akaamua ku-adopt watoto wawili.
Inavyosemekana baadae walikuja kuzaa watoto wawili hivyo familia ikawa na watoto wanne. Baada ya kuwa na hao watoto wa kuwazaa yule mwanamke akaanza kuwanyanyasa wale watoto waliowa-adapt mpaka ikafikia yule baba akawapeleka kwa ndugu zao wengine.
Kaka yangu alikuwa na watoto ambao nilikuwa nawapenda sana mpaka nikawa nasema hata nikiwa na watoto wangu siwezi wabagua watoto wa bro', nitawapa upendo sawasawa na watoto wangu.
Miaka kumi na ushee baadae na mimi nimekuwa na watoto wangu. Mtoto wangu wa kwanza ana umri sawa na mtoto wa mwisho wa bro', nilichokigundua ni kuwa upendo kwa mtoto wako haufanani na unavyowapenda watoto wa wengine ''never''. Yaani at some point, there must be a decision made in favor of your biological child.
Hizi tamaduni za ku-adapt tuwaachie wazungu, sisi wabongo hatuwezi haya mambo. Utaua bure ufungwe.