moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
Faida za mpenzi pombe
1.Hana wivu hata kama nimeweka nne mezani
2.Nampata muda wowote nnaotaka
3.Hana safari safari za shopping
4.Naweza tukashare na rafiki yangu na moyo ukatulia
5.Nikiwa sina pesa hachukii
6.Ni mpenzi anae niongezea kujiamini nikiwa nae
7.Kila nikimkuta anakua ni BIKRA
8.Hapigi mizinga pesa hadi nimpe mimi
9.Hajawahi chepuka labda mimi nimruhusu
10.Hawezi kutoka nje ya nyumba hadi mimi niwepo ndio anatoka
11.Unaweza ukawa unapiga kimoja au viwili tu bila kukulalamikia kuwa hajafika kileleni.. yani unampiga kwa wastani