kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 523
- 916
Wanawake mnapuyanga sana siku ya harusi, sijui usoni mnapakaga manini mnaonekana hovyo hovyo km mmepakwa chokaa, sijui mnapakaga rangi za nyumba hata hamueleweki. bibi harusi kasura kanakuwa kama kinyani sababu ya mirangi mnayorundika usoni. jirekebisheni bhana!! afu hata mavazi yenu sujui wenyewe ndo mnaita mashela hampendezagi,sijui nani anawavisha,usoni mmerundika marangi, aaaarrrggh gauni nalo marangi hayaeleweki, namna gani pale mpuyango!!
ona wezenu hapa chini wapo simpo lakini wamependeza, hawajapaka marangirangi usoni,gauni rangi inaeleweka, au ndo tuamini kale kamsemo kenu "na uzuri unachangia"
ona wezenu hapa chini wapo simpo lakini wamependeza, hawajapaka marangirangi usoni,gauni rangi inaeleweka, au ndo tuamini kale kamsemo kenu "na uzuri unachangia"