Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Ambonyi,
Waungwana, naomba nawaambie nilichofikia Kama maamuzi baada ya kukusanya taarifa kutoka kwenye ndoa kadhaa za ndugu Jamaa na marafiki zangu.
Wakulu, na haswa wanaume wenzangu Ikitokea ukapata changamoto ya kindoa, Kabla hujafikia kukaa kwenye kikao cha kifamilia, tafadhali tafuta namna ya kuyamaliza haya mambo nyumbani... Ukiwa na Mkeo, na watu kadhaa ambao unawamudu.. Vinginevyo yatakayokukuta Huko kikaoni usijesema sikukwambia. Haya ndio niliyoyapata kwenye vikao vichache vya ndoa nilivyoshiriki:
Mwaka Jana nikiwa mjini Jamaa akamtuhumu Mke wake kuwa ana mwanaume mwingine ila ushahidi hajaukamilisha vizuri. Kwa ukilaza wake aka force kikao na mashangazi na Wazazi wake ( mume). Mwanamke akamwambia acha haya mambo tuyaongee hapa home yakishindikana tuyapeleke mbele, huyu jamangu akasema na vingereza vingi Mara enough is enough Sijui nin.. Tunaenda kwa wazee.. Akamsomba mke wake mpaka kwa wazee wake. Kufika mbwanga akaanza kuyamwaga mwanamke akaona isiwe tabu alipoulizwa unasemaje kuhusu hizi tuhuma akajibu huku ameinama chini na vimachozi vya kinaa,.. Akauliza nijibu hapa hapa au nitoke pembeni na mama.... Jamaa likaropoka HAPA HAPA..kwa sauti ya kisukuma... Binti akainuka akasema Wazazi wangu Mimi ni mvumilivu sana, huu ni mwaka sasa mwenzangu hata hanigusi popote nalala nae Kama dada yake na wala haisimami jamani tusaidieni. Weeeeeeeee!!!! Ngosha macho yakamtoka pale akawaambia mashangazi zake "INASIMAMA KABISAAAA " Shangazi zake wakamwambia acha ujinga unataka ukalale na sisi ndo tujue kuwa unasimamisha...tangu siku hiyo, hata Jamaa akipigwa vibao na Mke wake hataki vikao. Noma kweli...
Sasa hii ni ya Jana:
Hapa nilipo nikaitwa na wazee kadhaa na wamama tukasuluhishe ndoa ya Jamaa Kama inakaribia kumwagika hivi. Kati ya wasuluhishi alikuwepo mama mkubwa wa jamangu. Kila Jamaa akiongea binti anatabasamu kwa dharau, ilipofika wasaa wa kujibu mapigo akasema mama mkubwa na wamama wengine nawaomba kidogo huku nyuma... Baada ya dk5 wanarudi du mama mkubwa anatengeneza kanga Mara anatema mate chini,... Akamuuliza Jamaa hizo tabia umeanza lini??? Jamaa macho yanamtoka. Mama mkubwa akashindwa kujizuia akmrushia kibao Jamaa... Akauliza kuna nini?? Mama mkubwa na wale wamama wengine wakayamwaga. Binti kumbe kawaambia Jamaa analazimishaga 0713. Na binti hataki na ndo sababu Jamaa kushitaki kuwa haeshimiwi. Akaulizwa ni kweli??? Akasema muongo huyu akaambiwa sisi tutajuaje??? Dah, baada ya pale tukatoka na mshikaji na wazee kadhaa... Wazee wakasema msipende vikao jamani. Mjue hawa wenzenu wanatuleteaga vitenge huku so wewe utaonekana kiazi tu hata Kama ni uongo...
Wazee wenzangu,...acheni vikao na hawa wake zetu. Tu jitahidi kuyamaliza hata kwa nguvu za dola.