Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke na mwanaume walikuwa wakiendesha magari tofauti, yakagongana. Magari yote yakaharibika vibaya kwani ajali ilikuwa mbaya na ilisababishwa na uzembe wa mwanamke. Pamoja na magari yao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mm ni kijana wa miaka 21 natafuta mchumba wa kuwa na malengo nae na sio wa muda mfupi 2.Kwa aliye tayar anicheck inbox.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Poleni na majukumu ya kutwa nzima, Na samahani kwa kuwachosha na thread yangu. Nina girlfiriend wangu, tuna miezi kadhaa sasa tangu tulipoingia katika mahusiano. Shida ni...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Kuna dada mmoja hapa kwa mtaa ambao naishi ni ndugu wa rafiki yangu amekuwa na mazoea na mimi kiasi kwamba asipokutana na mie au kunipigia simu kwa siku ni tatizo je hizi dalili za mwanamke akiwa...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu! Ni kwamba wivu uliopitiliza katika mapenzi ni dalili ya upendo wa kweli au ni udhaifu? Utasikia wengi wanaongea kuwa upendo wa kweli huambatana na wivu wa hatari sana...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
BY DAYAN MASINDE · 1. “Men think of sex all the time” No human mind can think of sex all the time, it will get bored and empty. God has given us a lot to think of and stimulate our mind. Yes, it...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Ki Roho SaFi JE WANAWAKE BADO WANAKUSUMBUA???- Embu tujadili leoWanawake ni watu wa vikwazo. Wenyewe wanasema wanaweka vikwazo ili kukupima kama una "mapenzi ya kweli". Unachotaka wewe ni kimoja...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
NAKUMBUKA Genesis 2:24 “Therefore a man leaves his father and his mother and cleaves to his wife, and they become one flesh.” Kijijini...1961 Nakumbuka enzi za mwalimu! Ndiyo kwanza...
15 Reactions
180 Replies
14K Views
Mimi ni kijana wa kiume wa umri wa miaka 24, nina mahusiano na msichana ambaye tuna muda wa mwaka 1 na miezi kadhaa kwenye mahusiano, nampenda na kumjali sana huyu msichana, wote ni wakristo...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
[emoji253]SIFA ZA MWANAMKE[emoji253] [emoji253]Mwanamke kabla hajaolewa huutunza usichana wake kwani ndio taji peke la heshima pale aolewapo. [emoji253]Ikitokea aliuharibu usichana wake basi...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Msaada unahitajika Kung'amua fumbo hili *WHO WAS THE MURDERER??*
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wengi sana hususan vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kujizuia kuwa tamaa hasa tamaa ya ngono. na kwa kutokujua cha kufanya wamejikuta wakifanya maamuzi yasiyo sahihi ambayo yumkini...
5 Reactions
12 Replies
8K Views
Hi Kuna vitu vinaumiza sana ukivisikia. Tena haswa ukivisikia kuwa vimemtokea mtu wako wa karibu. Kuna rafiki yangu bwana ana msichana mzuri sana tatizo kubwa la huyu msichana ni mropokaji...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi, Mimi ni Mtanzania ninaishi Trondheim, Norway nimekuja mbele yenu kutafuta rafiki wa kike anayeishi Norway (hasa Trondheim). Naomba kama yupo aniPM. AHSANTENI.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa Patrick Bundala niko mailimoja Kibaha ni mwajiriwa wa serikali ni Askari ila nyumbani ni Tabora na huku niko kikazi tu, nina mke na watoto 4. Kuna kitu kibaya kilinitokea nikiwa kozi ya...
29 Reactions
59 Replies
10K Views
Habari zenu wana JF, Leo tena nimekuja na hii thread inayohusu vyakula vya kumfanya mwanamke awe mtamu wakati wa tendo. Unajua mambo haya sio miujiza ni science na uhalisia. Mwanamke anaweza...
2 Reactions
135 Replies
36K Views
Amani kwenu wadau, katika pitapita zangu nmekutana na hii kitu nkaona ni vyema nikashirikiana nanyi kuchanganua suala hili!.. Siku zote hatutaacha kuzungumza juu ya mapenzi kwani ni ukweli...
3 Reactions
23 Replies
10K Views
Note: Kina mama hata kama hakuna waoaji sasa, kuwaandalia binti zenu mazingira kwa namna hii haijakaa sawa hata kidogo. Unajua katika hii dunia kuna kina mama wana mambo ya ajabu sana aisee...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Rafiki yangu nimempokea miezi 4 sasa tangia amefukuzwa kwao baada ya kushika mimba. Mwenye mimba ni mwanajeshi mwanzo alikuwa anatuma matumizi kama kawaida ila mimba ilipofikisha Miezi 6 akawa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba mnisaidie katika hili, hivi wivu unanafasi gani katika mahusiano ya kimapenzi? Inamaanisha akiwa na wivu juu yako ni kwamba anakupenda sana au maana yake ni nini?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom