Hadithi: Mtoto wa hayati

MoonBoy

Senior Member
Jul 15, 2016
195
133
MTOTO WA HAYATI
1474547082756.jpg


Sehemu Ya 35

Mtunzi..... MoonBoy

Ilipoishia Jana →↓↓

"mmmhhh kwa kuhonga hajahonga,... Kwani CV na vyeti vyake niliviona hivi kwa macho yangu, amesoma uingereza kila kitu, afu akaenda india kusomea udaktari"
"hhhmmmm we umezionea wapi hizo CV na vyeti vyake"
"chezea mimi wewe"
"aaahh niambie ukweli hivyo vyeti na cv zake viko wapi"
"kwani we wataka vya nini"
"nina kazi navyo"
Heeeeeee sasa nikashangaa kuskia kua kumbe vyeti vyangu tayari kila mtu anavijua, sasa ni nani kavisambaza, mana mimi nilimpa Dokta Mwasi, ambae ndio dokta mkuu hapa jijini arusha....
"nikuelekeze mahali vilipo"
"Enheee niambie haraka, nimseidie mpenzi wangu"
Sasa na mimi wakati huo nilikua nasikiliza kwa umakini ili nisikie vyeti na cv zangu viko wapi, na ni nani kavipeleka huko.....
"ina mana wataka ukamseidie sam"
"ndio"
"sasa utawezaje, kufanya hivyo"
"we niambie tu, swala la kuweza niachie mimi joy... Hawezi kuletwa mgeni na wakati wenyeji wapo"

ENDELEA..........

Nilijikuta naanza kuogopa kufanya kazi katika hospitali hiii, mana hata siku haijaisha, tayari kumbe kuna watu wananifatilia, sikua na ujanja wala furaha juu ya hilo, mana nilitegemea kua nitapendwa na kupewa kipau mbele kwakua bado ni mdogo, afu isitoshe naweza kukabiriana na kazi hio, lakini imani yangu yote imekata kutokana na hilo yani hata hamu tena sina

Sasa na mimi nikawa natega sikio sana ili nijue hizo cv zangu nani kazisambaza, lakini kabla hawajaongea, niliguswa nyuma ya mgongo wangu, nilishtuka sana kabla sijageuka, mana nilishajua tayari nazungukwa na wafanyakazi wenzangu, niligeuka kiunyonge sana huku nikitia huruma, kana kwamba kama kuna mtu anataka kuniua anihurumie... Lakini alikua ni mschana mmoja mzuriiii na hata yeye alishtuka baada ya kuniona ni mimi
"ooooohhh samahani dokta nilijua ni dokta john"
Aiseee alikua ni mmoja kati ya manesi waliopo humu ndani ya hospitali hii, Kiukweli alikua kabarikiwa kwa uzuri wa hali ya juu, mana mpaka moyo wangu ulistuka, ndio ujue kua toto lilikua kali kupitiliza... Afu pia alikua ana umbo la maana,
Nilijikuta nimesahau jambo lilionileta hapo, mana nikikumbuka nilikuja kwa ajili gani, ata sikumbuki kabisa, Niliondoka pale taaratibu huku nikimuangalia, na hata yeye alikua ni muoga kiasi kutokana na cheo changu cha udokta, tena ni dokta wa hali ya juu mno, na yeye ni nesi tu, hivyo alikua ana hali ya uoga oga hivi,
Niliondoka zangu na kuingia katika ofisi yangu binafsi,

Kwakua nilikua bado mgeni, hivyo ilipofika muda flani hivi nilianza kutembelea wagonjwa, mana ndicho kilichonileta hapa, nilikua nikikutana na manesi wengi mno, kana kwamba hata wale waliokua wakiniongelea kule chooni siwajui kabisa hivyo naweza kaa karibu na adui yangu mana siwajui.... Na mbaya zaidi wao hawana majina katika makoti yao, hivyo ni ngumu kuwatambua kua ndio hawa......... Ila nakumbuka walikua wakiitana Jesca na joyce, hivyo kwa majina ninayakumbuka sana lakini kwa sura siwajui mana sijabahatika kuwaona wakiwa wanaongea yale mambo,....

Kama kawa ilipofika mida ya saa 11 jioni niliweka vitu vyangu sawa na kutoka, nilikuja na gari ambayo ilikua nyuma ya nyumba kuke home, hivyo ndio naitumia kwa kujia kazini,.... Sasa nikiwa natoka na kibegi changu, nilimuona yule nesi mzuri akinikimbilia na kutaka kunipokea kibegi changu akipeleke kwenye gari, lakini nilikataa kwakua nilikua najiweza afu istoshe sina maringo yoyote wala dharau, hivyo siwezi nikamfanya mtu kua kama mtumwa kisa ni elimu yangu au cheo nilichonacho
"dokta naomba nikuseidie begi lako"
Alionekana ni mwanamke mwenye heshima sana, na sio kua ni mkubwa ni lika langu sema vyeo ndio tumetofautiana,
"usijali mamy, naweza kufanya hivyo"
"sawa, safari njema"
"ok asante"
Niliondoka kwakua ilikua ni muda wangu wa kuondoka kwenda nyumbani lakini nilikua nina uoga sana ndani ya hio hospitali, mana leo kama siku ya kwanza tu tayari watu wameshaanza kunitamani, Nilifika nyumbani nikiwa nimechoka ile mbaya, Niliingia bafuni kwangu na kuanza kuoga, Nilipotoka nilikuta na juice moja safii nikawa naipiga taaratibu huku nikiwa naangalia tv hapo hapo geto kwangu, Nilikua nina mawazo mengi sana juu ya wale manesi, kwanini wanataka kuniandama kiasi hiki, Nilikua najiuliza maswali mengi mno lakini jibu silipati, mara dada fatu kaja hapo chumbani kwangu,
"mambo"
Alinisalimia nami nikiwa kama mdogo kwake nilimpa heshma yake
"poa tu, shkamoo"
"toka lini ukanisalimia shkamoo"
"ahhh mi sidhani kama muda huu utafaa kwa hayo maswali yako, so you can come next time"
"mbona siku hizi umekua na dharau sana sheby,..... sikiliza wewe ni mdogo wangu tu hivyo naomba upunguze dharau zako"
"mimi na wewe nani anataka kudharauliwa"
"unamaanisha nini"
"kwanini nikikusalimia hutaki kuitika"
"aaahhhh ok, basi kuanzia leo nitakuitikia, sawa dogo langu"
"wewe tu"
"vp sasa, utakuja nisifunge"
"wapi"
Nilijua alichomasnisha lakini nikatia kama sijui kitu,
"kule kwangu"
"kufanyaje"
"heeeeeee we upoje, mbona maswali mengi ivoo"
"nimechoka sana"
"kwani umekutana na kazi"
"wala tu, sema tayari watu wameshaanza kunichulia"
"kukuchulia? Kukuchulia kivipi"
Mara baba aliingia hapo chumbani na kutukuta tukiongea...
"oooohh umerudi"
"ndio dady, shkamoo"
"marahaba, habari ya kazi"
"aaahhh kazi njema, mzee ila kuna watu washaanza kunitamani mzee"
"una maana gani ukisema umetamaniwa"
"yaan kule hospitali, kuna ambao hawakupenda niwekwe kile kitengo"
"kwani we upo kitengo gani"
"aaaaaaahhh mimi ni baada ya dokta mkuu"
"haaaaaaaaaaa, mwanangu, hicho cheo mbona kitakuua, mana najua elimu yako ndio imekupa hio nafasi, na hao wanaotaka hicho kitengo huenda ni wa muda mrefu na ndio mana hawatokupenda"
"Unejuaje mzeee, ni hivyo hivyo"
"lakini mwanangu nilikuambia mimi, kampuni ile pale nenda kaisimamie, hutaki umekimbilia huko... Sasa hebu ona sasa hata amani na kazi yako huna mwanangu"
"we acha tu baba, yani nilikua nina nia na ile kazi lakini nia imetoweka ghafla tu"
"mmmhhhhh haya bwana, utaamua mwenyewe ufanyaje hapo"
Baba aliondoka zake huku akinilaumu kua nimekimbilia kua dokta wakati ni kazi zenye lawama chungu nzima... Dada fatu alikuepo na amesikia kila kitu,
"sasa sheby mdogo wangu itakuaje"
"we acha tu"
"mmmmhhhh haya bwana, ila uje basi"
"stakiiiiiiiiiiiiiii husikiiiiiiii"
"sasa unampigia nani makelele"
Nilikua nina hasira za hali ya juu kwani hakuna niliokua naelewana nae kwa wakati huo....

Basi ilifika muda wa kulala nikawa naanza kuupata usingizi, lakini ghafla nilisikia mlango ukigongwa taaratibu, kiasi kwamba kuna mtu alikua akitaka kuingia pasipo kujulikana, sikutaka kuuliza ni nani bali niliamka taaratibu na kuufungua mlango,
"mambo kaka sheby"
"poa tu vp tena saa hizi"
"samahani nimekuja kuchukua glass ya juice"
"ooooooo aaa ivi hukuchukua kabisa"
"bado"
Sasa kumuangalia vizuri alikua kavaa hovyo hovyo mpaka nikaanza kumtamani ghafla tu,
"ingia uchukue"
Nilimuambia aingie ili nimbanie huku huku ndani, mana nakumbuka kuna siku nilimponya ponya......
"hapana nakiomba tu mara moja"
Alikua akisita sita kuingia, nilimshika mkono na kumvuta kwa ndani, mtoto alidondokea kifuani kwangu afu alikua ana joto mpaka raha, Sasa baada ya kumvutia ndani nilibana mlango na kumtupia kitandani, mtoto kumbe alikua ana kanga tu na chupi nyekundu, hivyo nilivyomtupia kitandani ile kanga ilifunuka na kubakiwa na chupi tu, alikua anasumbua kidogo kama vile staki nataka, nilimueka sawa na kusogeza ile chupi kisha nikaupenyeza mtarimbo wangu
"aaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kaka sheby, ngoja basi nivue chupi kwanza"

Itaendelea..... after Tomorrow
 
MTOTO WA HAYATI

Sehemu Ya 38

Mtunzi..... MoonBoy

Ilipoishia Jana →↓↓

"lakini sheby mdogo wangu, kwani tukifanya kisiri siri bila mtu kujua kutaharibika nini"
"dada fatuuuuuu, tutakuja tufumwe kua tuna mahusiano ya kimapenzi, na mbaya zaidi tunayafanyia pale pale nyumbani we huoni ni hatari"
"kumbe we unawaza hilo tu,... Sheby nimeshanunua nyumba kitambo tu ila hakuna mtu anaejua"
Tulifika nyumbani hivyo maongezi yetu yalifika kikomo, tuliingia ndani ila mie nilikimbilia kuoga mana toka nirudi kazini sijaoga afu papo hapo nikamfuata dada, hivyo sasa hivi ndio naelekea bafuni,...

Basi mtoto wa kiume nilijua napata maji yenye uvugu vugu, lakini nikiwa naendelea kuoga nilishangaa mlango wa bafuni ukifunguliwa, nilikua sijaufunga na pia siufungagi kwasababu bafu lipo ndani ya chumba changu, sasa huyo alieingia mpaka baguni ni nani, afu mbaya zaidi nilikua nina sabuni machoni..
"usiogope mwanangu"
Heeee nilishangaa kuskia hio sauti kua nisiogope

ENDELEA.....

Nilishangaa kuisikia sauti ambayo sikutarajia kuisikia, mana akili yangu yote nilijua ni dada fatu ndio anaingia ndani, hivyo kwakua nilishawahi kutembe nae kimapenzi kwahio sikua nikimuogopa kwa muda, lakini cha ajabu hakua yeye niliomfikiria
Ghafla nilianza kusuguliwa mgongoni wakati huo niliku nakazana kutoa puvu usoni, nilipokuja kufungua macho, aiseee
Alikua ni mamdogo jeni, yaani mdogo wake na mama,.. Afu alikua ana chupi na sidiria tu,... Sikutaamaki sana kwa kuuona mwili wake kwani kabla ya sasa nilishawahi kuuona tena na kuufanyia kazi kabisa, yaani nilimpa penzi langu kama mwezi hivi umepita, na kama unakumbuka basi itakua ni vizuri zaidi,... Sasa mtoto wa kiume kuona umbo lake tu mwili wangu wote ulisisimkwa na kuanza kumsugua na mimi, huku nikivitumia vidole vyangu kuviii...... Ndani ya chupi yake, wakati huo yeye alikua ana sabuni mwili mzima na mimi pia hivyo hivyo, mamdogo aliivua ile chupi yake na kuanza kuifua huku akiwa kainama kichuma mboga, aisee nami mzuka ulinipanda kwa kuona utelezi wa sabuni uliokua ukiteleza katika ngozi yake, nilizishika zile shanga zake na kuanza kuzifanyia kazi, Nilimuona mamdogo akiacha kufua na kuanza kuusikilizia utamu wa kuxhezewa shanga zake, mtoto wa kiume nilikua sijabalikiwa uume hivyo nilikua nikiseidiwa na uandaaji wa mapenzi...

UNAJUA UKIWA NA UUME MDONGO USIHOFIE KUFANYA MAPENZI, KWANI KUNA WATU WANAOGOPA KUFANYA MAPENZI ETI KISA WATAEBIKA KIMAPENZI, MANA WATASHINDWA KUFANYA VIZURI KATIKA MAPENZI, SASA SIO WEWE TU PEKE YAKO NDIO MWENYE UUME MDOGO BALI TUPO WENGI... UNAPOKUA NA MWANAMKE WE WAZA KUFANIKIWA KUMKUNA MTOTO, NA MAPENZI SIO UUME MKUBWA BALI MAPENZI NI KURIDHISHANA, NA WEWE UNAEHITAJI UUME MKUBWA BASI UJUE HUHITAJI KUMRIDHISHA MWENZI WAKO,.. MIMI PIA NILIKUA MUOGA SANA KILA NIKIPEANA AHADI NA MWANAMKE,.. NILIKUA NAMPA MWANAMKE AHADI YA TUKUTANE AU AJE GETO TUFANYE MAPENZI, LAKINI CHA AJABU NA CHA KUSHANGAZA HIO SIKU AKIJA NAANZA VIKWAZO VYA HAPA NA PALE KANA KWAMBA SIJIAMINI KAMA NITAWEZA,.. MPAKA SIKU NIKAONA KULIKO NIANZE MAPENZI NA MWANAMKE CLASSIC, YAANI MWANAMKE MWENYE KIWANGO CHA JUU.. NIKIMAANISHA UZURI, UMBO, NA UTANDAWAZI... NIKAANZA MAPENZI NA MWANAMKE AMBAE KWAO MAISHA NI MAGUMU MCHAFU MCHAFU AMBAE HATUENDANI KIMADHINGIRA, TENA UANZE NA MNENE, ILI HATA UKISHINDWA NA YEYE ASIJUE KUA ULISHINDWA KWA SABABU GANI, LAKINI KIZURI ZAIDI NIKAJIKUTA NAMKUNA MTOTO MPAKA ANALIA,.... SASA TOKA SIKU HIO NAMI NIKAJIONA HATA MWANAMKE CLASSIC NAWEZA KUSEX NAE NA HAWEZI KUNIZARAU... KWAHIO TUNAPOKUA WAOGA MBELE ZA WANAWAKE NDIVYO TUNAVYOZIDI KUJIPOTEZEA MUDA, MANA HATA KUOA PIA UTAOHOPA KWAKUA UTAWAZA HUTOWEZA KUMFIKISHA KILELENI NA MWISHOWE WALE WENZIO.... HAYO NI MAWAZO POTOFU JUU YA HILO...

MWANAUME MWENYE UUME MDOGO, UNAPONGIA GETO NA MWANAMKE WAKO, CHA KWANZA KABISA KUA MTUNDU WA KUMUANDAA, NA PIA ZIPO STAILI MBALI MBALI ZA WANAUME WENYE UUME MDOGO, ILA SIWEZI KUZIONGEA HAPA... LAKINI KIKUBWA ZAIDI NI KUJIAMINI NA KUMUANDAA VIZURI MPENZI WAKO.... SASA MIMI NAKUPA SWALI MOJA TU, UMUULIZE MWANAMKE YEYOTE YULE AMBAE UNAMUONA ATAKUJIBU SWALI HILI....

"IVI UTAMU WAKO UNAUPATA NJE AU NDANI"

ATAKACHOKUJIBU JUA NI CHA KWELI LAKINI JIBU SAHIHI NI KWAMBA
UTAMU UPO NJE YA UKE NA SIO NDANI, SASA WEWE UNAETAKA UWE NA UUME WENYE INCHI 8 MPAKA 10... UNAENDA KUMCHOKONOA MAMA AKO KULE NDANI?... ACHENI MAWAZO POTOFU KUTAKA MIUME MIKUBWA, UUME MKUBWA KWA MWANAMKE NI KUMUUMIZA NA WALA SIO KUMRIDHISHA..... SASA WEWE TENGENEZA UUME UMUUMIZE MKEO NAMI NITENGENEZE UFUNDI NIMUIBE MKEO... FARA WEWE UNAEPENDA UUME MKUBWA.... UTAFIKIRI DEMU WAKO NI PUNDA..... BWEGE MZOEFU WEWE

Sasa tuendeleeni na pale bafuni kwetu.. Mamdogo alikua akilia huku akiniita jina langu, na wakati huo mimi nanii yangu imekaza vibaya mno mapaka mishipa ikawa inaniuma,.. Aisee nilishindwa kuvumilia...
"aaaaaiiiiiiiiiiii mwanagu sheby Uuuuuuwiiiiiiiiiiiii jamaniiiiiii"
Mamdogo alikua kalala chali nami nilikua kwa juuu, hata chupi aliacha kufua kwa raha ya mapenzi niliokua nampa, huezi amini mamdogo alikua ana umbo kubwa lakini uume wangu ulipenya na kumsababishia aanze kulalama kimahaba, Na sisi wanaume tunapoona mwanamke analia nasi hatuachii hapo hapo tunapakazania bila kujua kilio kile kinakujaje maeneo hayo,... Kutokana na mtelezo wa sabuni sabuni nilijikuta nimepizi tena sikua nimevaa kondom,
"sheby, ivi hujavaa kondom"
"wala sijavaa kwani vp"
"mungu wangu, naweza shika mimba eti"
Niliposikia hivyo ndio kwanzaa nilikua nakatika vizuri mno, na kumsahaulisha mamdogo kwa kutokuvaa kondom
"sheby twende kitandani, bwana mi naumia mgongo"
Nikaona kweli wacha tuoge kisha tuelekee kitandani, mana nikua nina moto nae ole mbaya,
Basi mimi nikaendelea kujisuuza mana tulikua bado tuna mapovu, mamdogo yeye alikua akiifua chupi yake, mimi nilimaliza kuoga kisha nikachukua taulo na kujifunga, na mamdogo nae alikua nyuma yangu huku akiwa kashika chupi mkononi mana si mbichi, na mwilini alikua katupia kanga tu ambayo ndio alikuja nayo huku bafuni, sasa ile kutoka tu.. Nilipigwa na butww baada ya kumuona mama akiwa kaka kitandani, tena alikua katutolea mavho kweli, sasa nikawaza fasta fasta nimwambie mamdogo asitoke kwa maana mama alikuepo hapo, lakini nilichelewa kumshitua na mwishowe nae akaonekana na mama......
"naona bafu lako limehamia huku"
Mama aliongea hivyo kwa kumuuliza mamdogo jeni, mamdogo jeni alikua kakaa kimya huku akiwa kainamia chini kwa aibu...
"nakuuliza bafu lako leo limehamia huku"
Aliulizwa yena na mama nami nilikua kimyaaaa
"nilikuja kuifua hii chupi tu"
"maana kule kwako hakuna maji"
"koki zimeharibika afu sabuni hamna"
Mamdogo alikua akitetemeka kwa uoga, maana alikua akiulizwa na dada yake, na huyo mamdogo sio kua ni mdogo laahasha, bali ni mkubwa na ana watoto wawili wakubwa kabisa wa kunifikia mimi, "yaani na utu uzima wako woote unakuja kuniharibia mwanangu kwanini lakini jeni"
"dada nisameee, nilikua nafua chupi tu"
"ahaaaa na vile mlivyokua mmelala pale ulikua unafua chupi... Yaani mwanamke na watoto wako unamuinamia mtoto mdogo kama huyu unampanulia kabisa mwanangu... Kwanini usitafute mwanaume huko nje"
"nisamee dada,"
"jeni jeni jeni jeni.... Kwanini inaniharibia mwanangu lakini"
"heeeee,, heheeee halooooo, umeongea sana dada, nimechoshwa na maneno yako, ivi wakiitwa wanawake wenye watoto ivi we utatoka kweli...."
"Whaaaaati?"
"hebu niambie dada,... huyu mtoto kwani ni wako?... Ivi umesahau kua huyu mtoto ulimuokotaga?"

Itaendelea..... after Tomorrow
1475659262716.jpg
 
MTOTO WA HAYATI

Sehemu Ya 39

Mtunzi..... MoonBoy

Ilipoishia Jana →↓↓

"nilikuja kuifua hii chupi tu"
"maana kule kwako hakuna maji"
"koki zimeharibika afu sabuni hamna"
Mamdogo alikua akitetemeka kwa uoga, maana alikua akiulizwa na dada yake, na huyo mamdogo sio kua ni mdogo laahasha, bali ni mkubwa na ana watoto wawili wakubwa kabisa wa kunifikia mimi, "yaani na utu uzima wako woote unakuja kuniharibia mwanangu kwanini lakini jeni"
"dada nisameee, nilikua nafua chupi tu"
"ahaaaa na vile mlivyokua mmelala pale ulikua unafua chupi... Yaani mwanamke na watoto wako unamuinamia mtoto mdogo kama huyu unampanulia kabisa mwanangu... Kwanini usitafute mwanaume huko nje"
"nisamee dada,"
"jeni jeni jeni jeni.... Kwanini inaniharibia mwanangu lakini"
"heeeee,, heheeee halooooo, umeongea sana dada, nimechoshwa na maneno yako, ivi wakiitwa wanawake wenye watoto ivi we utatoka kweli...."
"Whaaaaati?"
"hebu niambie dada,... huyu mtoto kwani ni wako?... Ivi umesahau kua huyu mtoto ulimuokota"

ENDELEA......

Mama aliamaka na kumkamata mamdogo jeni huku wakishindana kugombana, lakini mama hakutaka kupigana wala nini bali alimuachia na kumuambia kua,
"sawa, hata kama sio mtoto wangu, lakini gharama nilizomlea zinanifanya awe wangu, pumbavu wewe, toka ndani ya nyumba yangu na nisikuone tena"
"hata kama lakini jua huna uwezo wa kumpata kama huyo na ndio maana ukamleta uishi nae"
Maneno aliokua akiyatoa mamdogo jeni yalikua ni maneno makali sana yaliomfanya mama aanze kulia kwa uchungu, mana ni kweli mimi sio mtoto wake, na hata mimi nalifahamu hilo, kwani nakumbuka tulikutwa dampo tukiwa tunakula vitu vichafu vichafu mikate iliotupwa ilikua ndio milo yetu, ndio huyu mama akatokea. Na kutuchukua tukiwa mimi na dada fatu, tuliletwa ndani ya hii nyumba na kutambulishwa kama watoto wa familia hii na ndio maana hata dada fatu yupo kitengo kikubwa kule kwenye ile ofisi,...

Mamdogo jeni alitoka zake huku akifunga kanga vizuri, baada ya mamdogo kutoka mama aliniuliza
"ivi unafanyaga nae kila akija"
Niliitikia kwa kuyikisa kichwa kua ndio
"mungu wangu, mbona atakua kakubemenda mwanangu"
"mamy, we usijali kuusu hilo, hebu kapumzishe akili tu kwanza"
Mama aliondoka huku akilia machozi kwa kukuta mimi na mdogo wake tulikua tukioga bafu moja, basi mimi niliendelea kujipaka mafuta huku nikiwa nawaza kua baba akijua kua mie sio mtoto wake sijui itakuaje mana baba aliambiwa mimi ni mtoto wake niliekulia kijijini, na akakubali vizuri lakini sasa akijua, sijui itakuaje mana hata dada fatu anaweza kufukuzwa kule kazini mana kule kazini dada fatu ndio kama boss vile...

Baada ya siku kadhaa kupita nikiwa nipo kazini naendelea na majukumu ya kazi, mtoto mwaju alikua keshanikubalia lile ombi langu, la kua mpenzi wake.. Ila sema alikua akinizungusha katika swala la kufanya mapenzi, yani kila nikimpatia mtoto anakua mgumu...
Sasa leo nilikua nae nimempa lifti ya kumpeleka kwao mana sasa tumeshakua wapenzi hivyo kumpeleka kwao, kwangu ni jambo la kawaida sana, na hata wafanyakazi wenzetu wanajua kua mimi na mwaju yuna mahusiano ya kimapenzi,

Sasa mtoto wa kiume nilipofika katika hoteli moja hivi nikasimamisha gari na kumrukia mwaju kimapenzi, huku nikimsambazia mabusu ya hali ya juu, nilianza kumshika shika mtoto wa watu, huku nikimuiii....... Vidole katika nanii yake, mwaju alikua akisikia maumivu ya hapa na pale na kuhitaji kitanda.... Sikuamini macho yangu kama leo mwaju kanikubalia kufanya mapenzi na mimi...
"sheby mpenzi, naomba tufanyie kitandani, mana hapa kwenye gari utaniumiza tu bure"
Nilimsikiliza mtoto wa kike, nilishuka papo hapo na kwenda kumgungulia mlango wa gari,... Nilimbeba kabisa kwa furaha huku tukiingia katika hio hoteli ambayo tulikua karibu nayo,... Nililipia chumba mtoto wa kiume kisha tukaingia moja kwa moja mpaka kitandani, kiukweli mwaju alikua anavutia sana katika swala la kufanya mapenzi, nilianza kumsolola nguo zake huku nikiwa nampania kufanya nae tendo la ndoa... Katoto cha watu kalikua kakideka kwa kulia kimahaba....
"sheby"
"sema mama"
"kuna kitu nataka kukuambia"
"be free tu mama nakuskiliza"
"mimi bado ni mschana"
"ati unasemaje"
"sijawahi kua na mwanaume katika maisha yangu"
"unamaanisha kua wewe ni bikra"
"ndio"
"mmhhhhhh"
"vp kwani, nimekuuzi mpenzi wangu"
Angejua ndio kwanzaa naaza kukutana na bikra, yani yoka nianze mapenzi ndio leo nimekutana nayo,
Kweli mwajua alikua akisumbua mno kutokana na usichana wake, kwani kila nikiingiza mwaju anaitoa kwa kujibana, yani nilipata tabu sana mpaka mtoto kaja kujiachia mwenyewe....

Aiseee kweli mtoto wa watu alikua bado ni mzima, kwani niliweza kukata utepe wake ulimfanya aitwe mwaju,.... Mwaju alikua analia hapo kitandani nami nilipata kazi ya kumbembeleza badala ya tuondoke,....

BAADA YA MIEZI MIWEILI KUPITA

Nikiwa nipo kazini naendelea na majukumu yangu ya kikazi, nilisikia mwaju akiniita kwa sauti kubwa ya ukali
"sheby, sheby shebiiiiii"
"nini wewe"
"naomba umseidie mama angu please"
"mama yako,? mama yako kafanya nini"
"yupo hoi mama yangu.."
"ok hebu twende tukamuone"
Alikua ni mama yake na mwaju ndio aliletwa hapo hospitali, na ugonjwa wake yeye ndio taaluma yangu mimi, yaani ugonjwa wa moyo mimi ndio daktari wake,... Hivyo tulikimbia katika hio wodi ambayo ameingizwa mama yake na mwaju, ambae ni mkwe wangu japo simjui, mana si unajua mapenzi ya siku hizi yalivyo,.... Tulifika katika hio wodi na kumkuta mgonjwa hawezi hata kuongea ila alikua anaona kila kitu,
"sheby huyu ndio mama angu, anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo"
Sasa kumuangalia vizuri yule mama nilikumbuka mbali sana, kwani yule mama alikua ni mamkubwa wangu kabisa, kama unakumbuka tulishawahi kuteswa na huyu mama,... Tena huyu huyu mama ndio aliwauwa wazazi wangu iliweze kumiliki mali zetu, aliweza mpaka kumuua mdogo wake ambae ndio mama yangu mzazi, kwahio huyu ni mamkubwa jasu, na ana watoto mapacha ambao wakwanza waliitwa JAMALI NA SAUDA afu alikuepo na wengine wadogo ambao nilikua nao lika moja wanaitwa JUMA NA MWAJUMA.... Sasa ndio nikajua huyu ndio huyo mwajuma wenyewe,
Nilichokifanya ni kumkubalia tu kua nitamtibu mama yako... Lakini ukweli ni kwamba mwajuma alikua ni ndugu yangu, mtoto wa mamkubwa jusu,.... Afu mbaya zaidi mwaju alikua ana uja uzito wangu unapata mwezi sasa... Kiukweli nilichoka akili..... Sasa kwa niaba ya mwaju nilimseidia mama ake ambae nami ni mama yangu, lakini nikifikiria jinsi alivyotutesa na kuniulia wazazi wangu, nilitamani nikamuekee sindano ya sumu, mana katutesa sana... Na mbaya zaidi haikutosha akatufukuza kwenye nyumba yetu, tukawa tunaishi majalalani kisa ni yeye, afu leo anaumwa eti namseidia....

Nilitoka na kwenda kumchukua mwaju kisha nikamkalisha kitako katika ofisi yangu na kumuuliza maswali mawili matatu..
"kwanini ulinidanganya mwaju"
"nikudanganyie nini sheby,... Mi nilikuambia mimba hii ni yako, sasa nikampe mtu mzigo sio wake"
"sijakuuliza swala la mimba"
"umeniuliza nini"
"kuna siku nilikusindikiza kwenu, nikastuka kwa kuiona nyumba yenu, na nikakuuliza, hiii nyumba ni yenu, wewe ukanijibu kua ndio mumehamia juzi juzi tu, lakini kama ungelinijibu kua ndio hapo ni kwenu mimi ningeendelea kukuuliza na hatmae tungejuana, hebu ona sasa... Mama yako wewe ni mamkubwa wangu mimi"
"Whaaaaati?? Unamaanisha wewe ndio yule Sharbiny tuliokua tukiishi wote"
"sasa kumbe nani"
"mungu wangu na mtume... Sheby kwanini tumeingia kwenye mahusiano lakini"
"sababu ni wewe mwaju, wewe ulinidanganya"
Mwaju alikua analia kutokana na swala la kuingiliana kimapenzi tukiwa kama ndugu..... Sasa huyu mwaju ndio naweza sema ndio ndugu yangu wa damu kuliko hata dada fatu, dada fatu namuita dada kwakua alikua ni mfanyakazi wetu wa ndani, hivyo wazazi wangu walipofariki, walifariki nikiwa nae hivyo haikua na sababu ya kumuacha na ndio mana ikawa dada mpaka leo, utafikiri tumezaliwa..... Sasa huyu mwaju ndio ndugu yangu kabisa, mana ni mtoto wa mamkubwa.......

Basi nilimbembeleza mwaju na kufarijiana kua sote tuna makosa
"mwaju, wote tuna makosa ila hakikisha mamkubwa asijue kitu"
"na hii mimba sasa"
"hicho ni kiumbe cha mungu, hivyo kiache kiendelee kukua... Namaanisha kua wazo la kuitoa hio mimba life... Yaani usije ukathubutu kutoa hio mimba"
"sasa nitaileaje sheby, eee? Mana sina mtu atakaekuja kuniseidia, ukiangalia mimi ndio ninaetegemewa katika jukumu la kuilisha familia yangu... Kama juma yeye ni mvuta bangi tu"
"pole sana... Ila kuusu hio mimba niachie mimi nitailea, ila mahusiano kuanzia leo yafe"
"sawaa"
"ila hakikisha mamkubwa hajui chochote kuhusu hilo"
Basi mwaju aliondoka na kwenda kumjulia hali mama yake ambae aliletwa akiwa hawezi hata kuongea, ila baada ya kumpa matibabu, sasa kapata kanafuu kidogo hata mdomo unanyanyuka sasa..

Zilipita siku mbili mamkubwa bado alikua akipata huduma nzuri na matibabu mazuri tu, nilikwenda kumjulia hali, na kumkuta mwaju yopo karibu na mama yake akiwa kama nesi muuguzi,....
"shkamoo mamkubwa"
"marahaba mwanangu hujambo"
"sijambo"
"mama kumbe unamkumbuka sheby"
"ndio, nilimkumbuka toka jana, lakini jana sikua naweza kuongea hivyo nilibaki kimya, ila nilikua na wasiwasi sana kuusiana na afya yangu"
"kwanini mama"
"mimi ndio niliwaua wazazi wake wote... Na niliwafukuza katika nyumba yao, ile tunayoishi sasa hivi"
"mamaaaaa kumbe wewe ndio ulimuua mamdogo wangu, mamaaa"
Mwajua alikua akimlaumu mama yake kwa unyama alioufanya, katika familia hii
"Kiukweli nilikata tamaa ya maisha baada ya kujua kua dokta anaenitibu ndio yule yule niliomtendea mabaya, hivyo nilijua atalipiza kisasi... Lakini kumbe haikua hivyo, mpaka leo najiskia nafuu ni kwaajili yake.... Baba naomba unisameee nipo chini ya miguu yako nisameeee baba"
"nimeshakusamee mama wala usiwe na shaka"
Niliondoka zangu na kumuacha mamkubwa akilia kwa uchungu mana nimemuokoa maisha yake, lakini yeye aliniulia wazazi wangu... Nilienda katika wodi nyingine kumjulia hali mgonjwa ambae alifanyiwa upasuaji jana... Sasa ndio nakwenda kumjulia hali,....

Sasa nikiwa nipo na mgonjwa odini, nilikua naendelea kumpima, ghafla nilishikwa kiuno na kutekenywa, sikushtuka sana kuusiana na hilo, mana najua huenda akawa ni mwaju japo nimemkataza kuwepo kwa mahusiano yetu, hivyo nilikua najua ni mwaju ndio kaja kunishika kiuno, japo tabia hio hana na hajawahi kunifanyia..
"mwaju tulia kwanza nimalize"
Niliongea lakini bado sikua najua nani aliokua akinitekenya ila akili yangu ilinipeleka kwa mwaju, nilikua bize na mgonjwa ambae afya bado ilikua sio nzuri...
"aaahhhh kumbe unampenda mwaju kuliko mimi eeee sawa"
Heeeeee niligeuka fasta na kumuangalia huyo mtu, Aahhhh Kiukweli hakua mwaju kama nilivyotarajia, Alikua ni nesi jesca yule kimada wa dokta mkuu ambae ndio alivujisha cv na vyeti vyangu,... Sasa ghafla yule mgonjwa akawa anatapa tapa kana kwamba kuna kitu kimemshika kooni, mana alikua anarusha miguuu.... Sasa cha kushangaza huyu Jesca badala atoe msaada kwa mgonjwa bado akawa analeta utani na mimi, yani alikua bado ananitekenya, sasa mimi nikawa bize na mgonjwa.... Ili niweze kujua sababu ya kumfanya atape tape ni nini... Kila nikitaka kumpima Jesca ananitekenya kana kwamba hata kuruka ruka kule kwa mgonjwa Jesca kafanya ni mchezo kwake,.... Sasa kuona usumbufu unazidi kuchukua nafasi, niliamua kuachana na mgonjwa na kumgeukia Jesca ili nimpige kibao,..... sasa ile nageuka tu nilikutana na jesca ana kwa ana, na kufanya mkono wangu usite kumpiga, mana alikua karibu mno.... Sasa ile nataka tu kumsukuma Nilisikia sauti
"kumbe ndio mana wagonjwa wengi wanakufa mikononi mwako.. Kwa ujinga wa kucheza na wanawake wodini"
Nilishtuka na kumsukuma jesca pembeni
"apana dokta, ni huyu mwanamke sijui katokea wapi"
Alikua ni dokta mkuu wa hii hospitali,
"pumbavu mkubwa wewe, yaani mnafanya mapenzi wodini afu mgonjwa yupo hapa ana tapatapa? We mshenzi nini wewe"
"nisamee dokta"
"Jesca?"
"Abeeee dokta"
"huyu ni nani wako"
"ni mpenzi wangu"
Niliposikia hivyo nilidakia juu kwa juu
"haaaaaaaaaaa jescaa, huna hata huruma, toka lini nikawa mpenzi wako jesca"
"hapana dokta,.... Sheby ni mpenzi wangu, tena Alitaka amshushe mgonjwa chini afu anilaze kitandani ani nanihiiii"
"Whaaaaaaati"

Itaendelea..... after Tomorrow
1476019188663.jpg
 
MTOTO WA HAYATI

Sehemu Ya 40 - MWISHO

Mtunzi..... MoonBoy

Ilipoishia Jana →↓↓

"kumbe ndio mana wagonjwa wengi wanakufa mikononi mwako.. Kwa ujinga wa kucheza na wanawake wodini"
Nilishtuka na kumsukuma jesca pembeni
"apana dokta, ni huyu mwanamke sijui katokea wapi"
Alikua ni dokta mkuu wa hii hospitali,
"pumbavu mkubwa wewe, yaani mnafanya mapenzi wodini afu mgonjwa yupo hapa ana tapatapa? We mshenzi nini wewe"
"nisamee dokta"
"Jesca?"
"Abeeee dokta"
"huyu ni nani wako"
"ni mpenzi wangu"
Niliposikia hivyo nilidakia juu kwa juu
"haaaaaaaaaaa jescaa, huna hata huruma, toka lini nikawa mpenzi wako jesca"
"hapana dokta,.... Sheby ni mpenzi wangu, tena Alitaka amshushe mgonjwa chini afu anilaze kitandani ani nanihiiii"
"Whaaaaaaati"

ENDELEA.........

Kila mtu alishangaa kwa maneno alioyaongea jesca, kwani ilikua ni uongo mtupu usio na ikweli hata chembe.. Kiukweli sikua na la kusema juu ya hilo, kwani kila kitu kilionekana kua ni kweli... Punde sii punde mara sam akaingia huku akiwa ananiangalia kwa dharau kana kwamba huu ulikua ni mchongo, nimetengenezewa, kwan alikua akiniangalia kwa dharau huku akitabasam, nilishikwa na hasira sema zisingeseidia kitu juu ya dokta mwasi ambae ndio dokta mkuu katika hospitali hii,
"sasa sikia kijana, tunaomba urudishe leseni ya udaktari, kisha usimame kazi kwa muda"
Aliongea hivyo dokta mwasi huku sam akicheka vibaya mno, lakini niliimezea mate tu, Basi niliingia ofisini kwangu na kuchukua baadhi vitu vyangu na leseni yao, kisha nikawapa, kana kwamba nitarudi baada ya bodi ya hospitali kunifikiria kurudi,... Nilikwenda katika chumba ambacho ndipo alipo mamkubwa jasu na mtoto wake ambae ni mwaju, Niliwaelezea hali halisi ilivyo na kua kwa muda huo ndio nilikua naondoka...
"sheby, pole sana kaka yangu, ila hio ishu mimi niliisikia wakiipanga"
"usijali mwaju, najua hio ilikua ni njama yao tu hivyo hakuna shida"
Mwaju alinivuta nje ili tuongee mimi na yeye
"sheby, sasa kama umefukuzwa kazi maisha yetu yatakuaje"
"ndio mana nikakuambia usijali"
"basi nami pia siwezi baki hapa mana sintofanya kazi kwa amani"
"ok tumchukue mamkubwa twende"
Kwakua mamkubwa alikua keshapata nafuu kiasi flani hivyo tulimchukua na kumrudisha nyumbani,.... Tulipofika nyumbani ambapo ndipo wanapoishi kwasasa, ambapo ni nyumba yetu ya zamani japo imechakaa, alikua hata kutembea anaweza kidogo hivyo kapata nafuu vizuri kuliko awi alipokuja pale hospitali,
"mwaju, hebu fanya mpango wa kula basi"
Nilimuambia mwaju afanye mpango wa kula kwa upande wa mamkubwa jasu,... Mwaju aliondoka na kwenda kutafuta chochote kile cha kula nami nikawa natoka nje ili niweze kuikagua vizuri nyumba yetu ya zamani, lakini kabla sijatoka chumbani kwa mamkubwa, niliskia kuitwa kwa sauti ya chini na mamkubwa jasu...
"sheby mwanangu, naomba unisamehe baba, nisamehe mwanangu"
"mamkubwa, usijali mamy, mimi nimekusamehe japo inaniuma kiasi flani katika moyo wangu"
Mamkubwa aliamka kitandani na kwenda kusachi katika mabegi yake ya nguo, nikaona ngoja niondoke zangu nisije kuona nguo zawatu bure....
"subiri usiondoke"
Aliniambia nisiondoke kwa muda huo
"hiii ni ile kadi ya benki ambayo nilikupokonyaga miaka ile ulipokua mdogo, na hatukujua jinsi ya kuitumia kwasababu namba za siri hatukua nazo, hivyo nakurudishi kadi yako baba"
Daaaaaaaa aiseee nilipoiona ile kadi ya benki moyo wangu ulifurahi sana, na hata kimaisha pia niliona yameshakua mazuri mana... Lakini nikiwa naifurahia ile kadi mara simu yangu ikaita.. Kucheki alikua ni dada fatu,
"eee haloo dada fatu"
"sheby upo wapi sasa hivi"
"mi nipo huku mtaani kwani vp, afu mbona unahema ivo"
"baba keshajua kila kitu huku, na wewe keshajua sio mtoto wake, hebu njooo"
Nilikurupuka bila hata ya kuaga, nilipanda gari yangu na kuondoka, nilifika nyumbani ambako ndipo tulipokua tukiishi kwa sasa, nimemkuta mzee anafoka na kutukana matusi makubwa makubwa, Ila nilimkuta dada fatu kwa nje,
"dada kuna nini"
"nakwambia we wahi ukachukue nguo zako,"
"kaambiwa na nani kua mie sio mtoto wake"
"atakua ni mamdogo jeni, we wahi"
"mama nae vp"
"mama keshafukuzwa saa mingi, tena karibia apigwe risasi na mzee"
Basi niliingia ndani na kuchukua vitu vyangu kila kilicho changu,
Unajua mzee huyu alikua ni wa kusafiri katika maisha yake sasa alikua anahitaji mtoto kwa ajili ya mali zake, sasa mama alikujaga kushika mimba lakini mtoto alifariki siku hio aliojifungulia, na kuambiwa kua hawezi kushika mimba tena, sasa baba kurudi safari hakuti mtoto, ndio akaambiwa kua mtoto kampeleka kijijini kuishi na bibi ake, mzee akaridhika lakini ukweli ni kwamba mtoto alikufa, sasa mama kuona usumbufu kwa mumewe unazidi ikabidi atafute mtoto kutoka mahari popote pale ili tu ampeleke mbele ya mumewe, na kwa bahati nzuri sisi, mimi na dada fatu kipindi tukiwa wadogo, tulifukuzwa na mamkubwa jasu na kuingia mtaani, hivyo huyu mama katika tafuta yake zari likaangukia kwetu, mimi nilikua ni mdogo sana kiaskwamba naweza kumechisha na mtoto wao ambae amefariki dunia, yani alitakiwa apelekwe mtoto mwenye umri wa miaka 13 japo mimi nilikua nina miaka 14 kipindi nilipochukuliwa na huyu mama, lakini kipindi tulipokua mtaani kabla hatujachukuliwa, kuna siku tulimuibiaga mdogo wake huyu mama, na sura yangu aliiweza kuikariri, hivyo nilipoletwa na huyu mama humu ndani yule mdogo wake alinikumbuka, kwahio siri ikawa ni ya mama na mdogo wake tu, sasa kufichuka kwa siri hii nadhani ni kwasababu ya jana vile tulivyokutwa bafuni na mamdogo, afu mama akamfokea sana mamdogo, hivyo huenda mamdogo ndio kamuambia kweli shemeji yake ambae ndio alikua baba yangu wa bandia.....

Ghafla tukiwa hapo nje mzee alikuaja
"nyie pumbavu bado mpo, kumanina zenu ondokeni mambwa nyie"
Tuliingia kwenye gari na vitu vyetu na kuondoka zetu,...
"dada, tutafanyaje sasa na haya maisha, na mimi sijaweka hakiba ya kitu chochote kile zaidi ya kua mishahara yangu ya udaktari.. Ambayo nina milioni kama tatu hivi"
"sheby, usijali, mimi nilipokua ofisini nimefungua kampuni mpya ambayo hakuna mtu anaejua, na pia nimeshanunua nyumba kama nilivyokwambia jana"
"daaahhh aisee dada fatu una akili wewe"
"mimi sikulaumu mana najua ulikua masomoni hivyo ni ngumu kufanya kitu kikubwa"
Dada fatu alifanya mambo mazuri kana kwamba bado maisha tunayo yale yale, afu nikiikumbuka kadi yangu iliokua kwa mamkubwa ilikua ina pesa nyingi mnooo, kama milioni 200 na upumbavu hivi,... Kwahio kimaisha bado tupo fiti.... Tulifika katika hio nyumba mpya na kushuka, mimi sikukaa bali niliingiza vitu kisha nikatoka zangu na gari, nilielekea kule kwa mamkubwa jasu...
"heeeeee baba mbona ulikurupuka sana hata kuaga hujaaga"
"aaaahhh kuna kitu niliitiwa mara moja"
"kwani kuna tatizo baba"
"wala tu hakuna tatizo"
Nilitoka na kumchukua mwaju kisha nikapanda nae kwenye gari na kuelekea mjini,
"sheby tunaenda wapi"
"usijali"
Nilikwenda benki na kuingiza ile kadi ambapo iliniletea kiwango cha pesa, shilingi milioni mia mbili na pointi 3... Nitoa kiasi cha milioni 80 na kubakiza salio la shilingi milioni mia moja na hamsini, kisha nikampatia mwaju ile kadi ya benki yanye pesa tasilimu milion 150 keshi....
"mwaju, nakuomba sana umlee huyu mtoto, na mamkubwa jasu akikuuliza sana we mwambie ukweli kua tulikua hatujuani, hivyo mimba ni yangu, lakini akiwa sio msumbufu basi we vunga na sijue chochote, mlee mtoto katika malezi mazuri, na nakuomba sana usichukue roho ya mama yako,..... Na ukae na kujua kua nimemsamehe mama yako kwa ajili yako, hivyo bila wewe,... Ningefanya juu chini mama yako nae afe lakini sitaki kulipiza baya kwa mabaya yake,.... Chukua hiii kadi ya benki ina shilingi milioni 150 humu ndani, paswadi zake ni mwaka wangu wa kuzaliwa mimi"
"ngapi sasa, afu inamaana hutorudi kabisa"
"paswadi ni 1995,...... Kurudi sirudi tena nataka niwe bize na maisha, kwani sihitaji mchezo tena kwa sasa nitakua bize mno hivyo naomba umlee mtoto wetu, na hiii kadi hakikisha mamkubwa haioni.... Afu chukua hii milioni tatu utakarabati nyumba irudi hali yake ya zamani.......twende nikurudishe"
Niliwasha gari na yeye akiwemo ndani kisha nikamfikisha nyumbani kwao...
"sheby mpenzi, nakutakia maisha mema na mungu akuzidishie kila hatua unayopiga"
"nishakwambia swala la mapenzi na mimi acha"
"nimekusikia ila kwakua nina kiumbe chako tumboni mwangu, nitakukumbuka kama mpenzi"
"ok niagie mamkubwa na umwambie kua sheby kapata safari ya ghafra hivyo hatorudi, sawa"
"sawa my"
Niliwasha gari na kuelekea kule kwenye mjengo mpya, na kumkuta dada fatu tayari keshaivisha diko.... Basi nilikaa mezani na kuweza kujumuika nae
"ulienda wapi wewe"
Dada fatu aliniuliza swali hilo,
"nilienda kwa mamkubwa jasu"
"Whaaati, ivi yule mwana haramu bado yupo hai... Ebu nielekeze nikamuonyeshe maisha"
"dadaaa, kua mpole, mimi mwenyewe nina uchungu na hilo lakini nimemsamehe, tena mbaya zaidi aliletwa hospitali na mimi ndio niliemtibia"
"we ni mpumbavu kweli wewe, yaani mshenzi kama yule unamuacha, sheby hebu kumbuka yulivyoteswa na yule mwanamke"
"dada, najua katutesa sana, ila hata ukimuukumu sasa hivi utapata dhambi bure yu, hivyo hebu kua mpole na usilipize baya kwa baya, hata mungu hapendi, we msamehe tu dada angu"
"lakini hakustahili kuishi yule mwanamke, yaani sisi ni wakulia chakula katika safuria ya mambwa kweli"
"dada, kumbuka haitokua na faida hata ukimuukumu hivyo naomba tumuache tu na wala usiumize kichwa kuusu yeye, afu pia nimemsamehe kwasababu ya mwaju"
"mwaju yupi uyo, yule mtoto wake"
"ndio"
"kwani kafanyaje uyo mwaju"
"nilipoenda kuomba kazi katika ile hospitali nilimkuta yeye kama nesi, tulianzisha uhusiano wa mapenzi, na mapaka sasa ana mimba yangu"
"haaaaaaaaaa sheby yule si ndugu yako we mshenzi wewe"
"hakuna aliemkumbuka mwenzake zaidi ya kufanya yetu tu"
"hebu ona sasa umeendekeza ngono mpaka umetembea na ndugu yako kabisa, tena bora hata mimi mana hatuna undugu.... We ni fara kweli"
"hata mimi nimejilaumu pia..... Ila nakuahidi dada angu, kuanzia leo.... HAPA KAZI TU"
"ila usijali kwakua tumeshajitengenezea mali zetu hivyo tuishi kwa amani na upendo, na sasa sihitaji tutamaniane yena na pia nakuomba masamaha kwa kukuita chumbani kwani na kukushawishi machafu.... Naomba tuishi kama zamani sawa"
"aaahhh hilo mbona nilishasahau kitaambo sana"
"ok... Kesho nakupeleka kwenye hio kampuni yetu mpya ili ukawe meneja, na mimi nitakua secretary, sawa"
"ok nimekuelewa dada"


MAISHA MAZURI HAYAJI HIVI HIVI TU BALI HUJA KWA VIKWAZO VINGI...... TULITESEKA SANA KATIKA MAISHA YETU MIMI NA HUYU DADA YANGU, TULITESWA SANA NA MAMKUBWA JASU AMBAE NDIO HUYO MAMA YAKE MWAJU, ALITULAZA NJE NA MWISHOWE AKATUFUKUZA KATIKA NYUMBA YETU... LAKINI MUNGU SI ASUMANI TUKAPATA NJIA NA HATMAE SASA TUNATUSUA TU

FANYA KAZI UFANIKIWE KWANI MTAJI WETU NI NGUVU ZETU WENYEWE....

STORI HII NI STORY YA KWELI KATIKA BAADHI YA SEHEMU, ILA SIO YOTE


NA HAPA NDIO MWISHO WA SIMULIZI HII YA MTOTO WA HAYATI

ILA HILO JINA LILIBADIRISHWA... ILA MWANZO ILIITWA...

"NGUZO ZANGU ZOTE HAYATI"

KWAHERINI NA NAWATAKIA SIKU NJEMA



KWA STORY ZAIDI BOFYA HAPO CHINI KISHA UNGANA NASI KWA KUGONGA LIKE KWA HIO PAGE YETU →→→↓↓↓
1476345547504.jpg
 
Back
Top Bottom