Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

Imekaaje hii? Wenye wake kuweni makini

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,926
Reaction score
4,198
Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki. Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha. Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.

Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi. Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamiss ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)

Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.

Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa ninapoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.

Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa? Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si nitamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.

Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnaooa wanawake wa mikoani.

MREJESHO:
Kutokana na michango ya walio wengi hapa jukwaani niliona nachokifanya sio kitu chema.
Niliamua kumuweka wazi. Nilimwambia sihitaji laana. Neno moja tu hilo, nikaondoka bila kuangalia nyuma. Nikamuacha analia ikabidi niende zangu mbali kwa mshikaji nikakesha naangalia muvie.
Mpaka sasa anaendelea kupiga simu, kila akipiga napokea na kumwambia neno moja tu "sihitaji laana". Nakata simu.
Hatimaye shetani nimemzidi nguvu.
 
Ni msichana mmoja mrembo niliyedate naye kwa malengo ya kumuoa. Nikikwambia mrembo jua mrembo kweli kweli, Wema Sepetu mwenyewe atasubiri sana. Sema tu hajapata kiki.
Bahati mbaya sikuweza kumuoa kutokana na sababu za kimaisha.
Aliolewa na mtu mwingine wakaenda kuishi Dar.

Cha kushangaza huyu binti hakukubali kukata mahusiano na mimi. Tena huniambia upendo alionao kwa mume wake haufiki hata robo ya anavyonipenda mimi.
Huyu binti huja mara kwa mara mkoani, sio kwamba anawamis ndugu zake. No, analimiss dushe langu tu. Anasisitiza anataka anizalie mtoto (wenyewe bado hawajabahatika kupata mtoto)

Hakika kwake ni faraja na furaha sana kuendelea kuwa na mimi. Ila hali ni tofauti kwangu mimi. Nafsi inanisuta, naona simtendei haki huyu mwanaume mwenzangu wa Dar, maana yeye ndo mmiliki halali.
Najitahidi niache kula huyu mwanamke nashindwa. Hivi sasa napoandika yupo ananisubiri nitoke kazini, ananisistiza nitoke mapema saa sita niende kumpiga kachabali. Kafika jana kutoka Dar kwa mume wa Dar.

Sasa najiuliza hivi asilimia kubwa ya wanawake wako hivi? Hawana ujasili wa kuvunja mahusiano ya awali hata wakiolewa??
Na je nikiamua kuacha kuendelea kumpatia hitaji lake si ntamuumiza sana moyo huyu mwanamke? Acha niendelee kuchapa as long as yeye ndo anapenda.

Kuweni makini na wake zenu. Hasa kwa wanaume wa Dar mnao oa wanawake wa mikoani.
Jiandae siku moja utatoa 0712 kwa lazima.
 
Sio wanawake wote wako hvo licha ya kwamba wengi wao wako hvo na hii ni kutokana na material waliokuwa wanapatiwa na wanaume wa awali
Mi sijampa materials zozote. Labda tu za kitandani. Nafikiri wanawake wana weskness kama sio ivo basi tukubali wanaume wa Dar wana weakness sana
 
Back
Top Bottom