Wanaume butu

Wanaume butu

Ryan The King

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
2,789
Reaction score
2,706
Habarini Wanajamvi!??

Kama Kichwa hapo juu kinavyojieleza.

Siku hizi kumezuka tabia ya sisi wanaume kulia lia wengine wameenda mbali zaidi kwa kupiga mayowe na kunga huku na huko. Kiukweli jambo hili lilianza kama riwaya ya mzaha mzaha lakini kwa sasa si riwaya tena ya Mzaha Bali riwaya ya dhati.

Hivi mwanaume inakuwaje unalalamika kuwa hakuna pesa, hivi tukilalamika hivi wanawake wao wafanyeje. Ifike pahala wanaume hichi kitabia cha kulia lia hakuna pesa tuache. Mwanaume halisi hupambana na hatari yoyote katika mazingira yoyote.

Kumezuka tabia wanaume tunalalamika kuwa wake zetu au Wapenzi wetu(Wanawake) Wametushinda. Mwanaume halisi lazima ajue namna ya kumtawala mwanamke na amtawale mwanamke. Yaani mwanamke anakupeleka peleka kama kikaragosi kipelekeshwavyo na upepo kaatika anga. Mpaka Mungu anatushangaa tunavyomtia aibu.
Wanawake waliumbwa kwaajili yetu, akizingua tupa kule tafuta mwingine.

Mwanaume kamili haogopi kuachwa na Mwanamke, bali mwanamke ndio anapaswa kutahayari. Unakuta mwanaume mzima anawaza upuuzi eti anaogopa kuachwa kisa watoto. Anayepaswa kujali watoto sio Baba ni Mama, mbona hata Nature inaonyesha kabisa.

Wanaume wengi wenye kujali kama wanawake ndio hukutwa na matatizo mengi kuliko wanaume halisi. Wengi hupungukiwa nguvu za kiume kwa Stress, Wanaume hatupaswi kuwa kama wanawake kihisia.

Eti mwanaume anasifiwa Usafi, hahahaaa!! Kwani we Mzazi, Kuna uhusiano Mkubwa kati ya Usafi na tabia za kike. Mara nyingi wanaume wengi Wasafi kupita kiasi huwa na tabia za kishoga. Pia huwa na hisia kama wanawake.
Mwanaume unafikiria Usafi mwanamke afikirie kukuletea Ugali.

Weita ongeza bia.
 
Ni kweli kuna Wanawake ambao waume zao wanaowashindwa kabisa, mfano:-

Imagine Mwanamke anakuwa na tabia mbaya ambayo kila mara unamwambia aiache lakini haiachi.

Mfano "Umbea wa saluni na kufuatilia mambo ya watu"

Au "KIBURI"

Pia Mwanamke anaweza kumtawala mwanaume tena sana hata kwa Ushirikina. Mfano

"Kwa limbwata na ujinga mwingine"

Halafu "USAFI" ni sifa nzuri kwa Binadamu wa jinsia yoyote.

Hakuna uhusiano wa Usafi na Ushoga. Kama wewe ni mchafu mchafu jitahidi sasa kuwa msafi.

UCHAFU sio U HARDCORE au UANAUME.

Uchafu ni UJINGA NA UZEMBE
 
Hoja nzuri hapa ni kuacha kulia lia.

Ila usafi na ushoga ni vitu viwili tofauti kabisa.

Unashindwa kutofautisha kujipodoa na usafi.

Kwa wale wanaume wanaojipodoa hapo naweza nikasema wana tabia za kike.
 
Tanzania in wagonjwa wa akili 400,000+. Source: Azam Habari, Jumatatu, 10.10.2016, saa 2 usiku.
 
Umeamua kuelezea jins wanaume butu mlivyo

we kweli Ni butu na unajijua
 
Mmmmmm! Ndio maana kila iitwapo leo ninazidi kumpenda baba yangu(R.I.P), mawazo mengine ya wavaa suruali wakifikiri ni wanaume ni shida sana.
Mbarikiwe akina baba mtimizao majukumu yenu ipasavyo kwenye familia.
 
Usafi kupita kiasi kwa mwanaume ni dalili mbaya saana. Mwanaume kamili hawezi kuwa Msafi kupita kiasi.

Pia sijazungumzia suala la Usafi pekee, sasa nashangaa kuona Mtifuano mkali kuhusu Usafi.

Kwa ujumla ni kuwa kama mwanaume umsafi kupita kiasi basi lazima kuna shida sehemu Fulani.
 
Ni kweli kuna Wanawake ambao waume zao wanaowashindwa kabisa, mfano:-

Imagine Mwanamke anakuwa na tabia mbaya ambayo kila mara unamwambia aiache lakini haiachi.

Mfano "Umbea wa saluni na kufuatilia mambo ya watu"

Au "KIBURI"

Pia Mwanamke anaweza kumtawala mwanaume tena sana hata kwa Ushirikina. Mfano

"Kwa limbwata na ujinga mwingine"

Halafu "USAFI" ni sifa nzuri kwa Binadamu wa jinsia yoyote.

Hakuna uhusiano wa Usafi na Ushoga. Kama wewe ni mchafu mchafu jitahidi sasa kuwa msafi.

UCHAFU sio U HARDCORE au UANAUME.

Uchafu ni UJINGA NA UZEMBE

Sijasema mwanaume awe Mchafu ila ninachokisema kuwa mwanaume kuwa MSAFI KUPITA KIASI ni dalili mbaya saana kwa uasili wa Jinsia hii makini.

Uchafu ni jambo baya kwa kila kiumbe, ila mwanaume hapaswi kuwa Msafi kupita kiasi.

Na ni ujinga usiokubalika mwanaume kuwa Mchafu
 
Back
Top Bottom