Mzalendowadamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 218
- 319
Poleni kwa michakariko ya kusaka salari.
Hili nimekuwa nikilifikiria kwa kadiri ya uzoefu wangu. Mara kadhaa ninapokuwa katika mechi na mwanamke wa umri mdogo huwa nina shuhudia kuwa wanakuwa na kiwango kikubwa cha msisimko wa kimahaba. Hufikia hatua wakati wa kumuandaa, kama ilivyo kawaida yaani kumtomasa kwa njia mbalimbali kadiri ya mautundu yangu, huwa wanalegea mpaka kufikia hatua ya kubaki na miguno ile ya mbaaali na kuhema kama anataka kukata roho.
Siku moja ilinibidi niahirishe zoezi kwa hofu kuwa yasije yakanikuta yale ya "kafiageto" baada ya sekunde kadhaa mtoto ndo akaanza kufumbua jicho kwa mbaaali kaka katoka ICU. Hata inapofikia wakati wa kuvurumisha makombora ya Syria huwa wanaitikia ipasavyo na kuashiria kuwa nyuklia zinatua pahala penyewe. Hii imekuwa na utofauti kidogo kwa hawa ambao wameshafikia umri wa alasiri na wale wa jioni maana wao kwa kutumia fumula zilezile lakini hakuna muitikio wala mshawasha kama hao makinda.
Unakuta vinapiga makelele ya uongo na kujifanya kama linatangaza goli la tambwe. Mara yes mume, hapo, pale, shika, achia, juu chini. Utaniua, oooh yaahh, ooh nooo. Pia unakuta ashki zao ni feki na zinatofautiana kadiri ya tarehe, yaani mwisho wa mwezi kuna miguno tofauti na katikati ya mwezi.
Yawezekana ni mimi tu, sasa kwa wale ambao wame experience mambo haya au tofauti, tafadhali tujuzane ili kama hawa magubeli wanahitaji fomula rasmi tujue.
Nawasilisha.