Jamani wanaJamiiForums,
Hebu tujaribu kubadilika. Kwanini kila kila siku iendayo kwa Mungu tunawajadili wanawake na kuwahadhirisha? Inakuwa sio poa sana kaa ukijua bila mwanamke hakuna mtu...
Acheni kuwaita wachumba/wapenzi wenu majina rahisi kama vile
"Asali Wangu", "Chokoleti yangu"", "Sukari yangu".
Kuwaita majina hayo, kunawafanya waonekane wa bei rahisi.
Kwani baadhi ya vitu...
Kijana mtanzania,miaka 30,mkristo nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa,dini yoyote,kabila lolote awe anajishughulisha na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato,mwenye shape,mrefu maji ya kunde.
Helo wadau Habarini
Napenda ku-share nanyi kuhus story hii yeny hekima na mafundisho
Kuna familia moja nzuri yeny baba, mama na watoto wao wakiishi kwa aman kabisa katika maisha Yao
Siku moja...
Wana MMU habari zenu? Samahani kama ntakuwa nimewakwaza kwa namna moja au nyingine kwa swali langu.
Naweka uzi huu baada ya kukutana na nyuzi na comment nyingi zinazohusu hili suala,hivi ni nini...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu... Niliwahi kuwa katika mahusiano na binti moja' kwa kweli huyu binti nilimpenda Sana... Na niliweza kumtimizia haja zake zote kwa namna moja ama...
Jana kijana mmoja ndg yangu anasoma hap mjini alinifata akiwa na shida na hela nimsaidie
Nilipombana pesa ni ya nini ikabid aniweke waz kuwa dem wake ni mjamzito hivyo anaenda kumtoa!!!!
Dah...
Wakuu wasalaam
Sitaki kutoa maelezo mengi saana nikachosa watu bure straight to the point iko hv;
Nilikuwa katika mahusiano na msichana mmoja nimekuwa nae takribani mwaka sasa
Sipingi kama...
Habari za Jumapili wana Jamvi wa JF na ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima na mmeamka salama pamoja na Familia zenu. Na kwa wale ambao pengine wameamka na ' matatizo ' ya aina yoyote yale...
Salaam ndugu zangu,
Nimeficha ficha haya mambo ila najiona kabisa naangamia hivyo ni bora leo niombe ushauri maana hapa pana watu wazima, wanasaikolojia na viongozi wa dini.
Mkasa wangu ni wa...
INBOX YA MDADA:
-
1.I luv u dear (JUMA).
-
2.Nikutoe out leo? (John)
-
3..Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume
wengine (Mwambi)
-
4.. Sweetie usisahau trip ya Bagamoyo, unambie nikupitie...
Ni mara elfu uolewe uoe mtu mwenye Sura mbovu
kama Kitumbua cha Kantini ya shule lakini ana akili
na Mapenzi ya kweli kuliko kuoa kuolewa na mtu
mzuri na anayevutia,watu wakakusifu umepata
chombo...
Habari zenu wandugu,
Natafuta mpenzi awe na umri kuanzia miaka 25 -30 Awe mnene kiasi asiwe mfupi sana. Elimu kuanzia form 4, awe muislamu. Umri wangu ni miaka 30. Nimeajiriwa katika kampuni...
Sijui nina matatizo gan!?? Nashindwa kuchangamana na watu jaman!
Nimekuwa mtu wa kuwa na urafiki na ndg zangu peke yao
Sometime huwa nataman ningekuwa na rafiki close kabisa ambaye nabeba shida...
Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha thread humu, nina umri wa miaka 24. Elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa nimeajiriwa kwenye kampuni moja hapa jijini mwanza, dini yangu ni rc. Ni...
Asalam aleikum wanajamvi,
Nimekuwa natatizwa na kauli hii " *ni mumeo akiwa ndani lakini akiwa nje ni wa wote*
Pana ukweli wowote? Wenye uzoefu mtumegee ubuyu nasi.