Kwanini kila siku wao tu?

Kwanini kila siku wao tu?

Yomakon

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
638
Reaction score
680
Jamani wanaJamiiForums,

Hebu tujaribu kubadilika. Kwanini kila kila siku iendayo kwa Mungu tunawajadili wanawake na kuwahadhirisha? Inakuwa sio poa sana kaa ukijua bila mwanamke hakuna mtu...

Badilikeni bhana.
 
Maisha bila watt wa kike hayaendi.
Wanakujaga hapa kujifariji tu, wazoee.
hii ndiyo jf Ukimwaga mboga tunamwaga ugali.
 
Achana nao hao wanaowasema wanawake wakati ... wanalilia, wakimwaga ugali tunakula mboga
 
Kwa majungu wanazhika nafasi ya kwanza,tofauti na sisi huwa tukikutana zaidi ya mtu mbili tunajadili mambo ya sekondari lakini sio hawa.
 
Back
Top Bottom