Nataka kufahamu tabia ya mama yangu.

Nataka kufahamu tabia ya mama yangu.

Mkuu, wew haupo ulimwengu aiseeee.

Ulimwengu huuu wa MAGU , Unaplan matumizi ya MILION TATU(3) Pesa za madafu kuchimba tu hilo jambooo, u can't be serius.

If wataka jua kidogo, mtafute rafiki wa mama yako mpige pombe, then atakujuza yale unayotaka sikia.
 
Duu,Kuna jamaa yangu alikuwa na lengo Kama lako!,mwishoni akaja kujua kuwa yule mzee sio babake mzazi,....chukua tahadhari kuchamba kwingi?.....
 
utoto wa hali ya juu, yaani umchimbe mazaa historia ya mahusiano.

tabia zenu za hovyo za kingono ngono unasingizia kurithi acha utoto.

waambie ndugu zako muache uzinifu, sio kumsingizia bi mdashi
 
Mshikaji mjanja sana..Kaweka dau ili apate PM za mabinti. Watakuja tu mkuu hofu ondoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom