jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,370
Wakuu wasalaam
Sitaki kutoa maelezo mengi saana nikachosa watu bure straight to the point iko hv;
Nilikuwa katika mahusiano na msichana mmoja nimekuwa nae takribani mwaka sasa
Sipingi kama ananipenda ila sasa shida yake ni mbishi yaan haelewi m ninachomwambia na wala hanisikilizi
Nilikuwa nikimwambia mambo mengi sana ananikubalia usoni lakin baadae anafanya tofauti then likimgeukia anarud kwangu kuniomba ushauri
Sasa nmejaribu mara kadhaa kumfanyia visa aniache yeye ila imeshindikana
Miez kadhaa iliyopita nilianzisha relation na mtu mwingine bahati mbaya siku moja nipo na huyu wa siku zote akakagua simu na kukuta mawasiliano ya huyu mpya akampigia na wakafahamiana kama wanashare
Sasa mm kukata mziz wa fitina nikaamua kumuacha huyu wa siku zote kwa sababu tayar shajaribu aniache yeye ikashindikana
Nilimwambia tu ukweli kwamba tuachane kwa amani ila sasa hataki yaan mpaka anatishia kujiua
Hii inanipa wakati mgumu mpaka kesho
Wajuz hebu nipeni ujanja nimwache vip huyu mtu