huwa siamini kama kuna mimba za bahati mbaya.
Mwanamke kupata mimba huwa kataka yeye.. Huwa hainiingii akilini tangu msichana avunje ungo by 12-13 then eti leo ana 25 ndo apate mimba ya bahati...
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)
2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi
3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi...
Habari!
Kama kawaida leo nataka nipambe jamvi kwa mkasa ulionitokea miaka kama 9 iliyopata kule Tanga.
Ujana ni mapito na kuna wakati unakuta umeingia ktk mtego wa kuwa na mahusiano mapya...
Wahenga baada ya kuteleza kwenye lile suala la mtaka cha uvunguni lazima ainue kitanda naona tena walikosea kwenye suala la mtu kuoa. Naongea kutokana na uzoefu wa miaka mingi kutoka kwa jamaa...
Napiga hodi jamvini ..... natumai mu wazima ...
Ndoa nyingi kama c zote ziwe zilizofungwa ktk nyumba za ibada, majumbani, bomani nk huambatana na wanandoa kukabidhiwa CHETI CHA NDOA ...
Hivi hii jinsia ya kike imewekewa nini? Namaanisha ni pilipili au upupu au nini? Inawezekana vipi mwanamke anatembea na mume wa mtu halafu ana kaboyfriend ambacho anajua kabisa kana demu wake na...
Mkama hujaguswa huwezi jua namaanisha nini ila kipindi cha mahusiano, urafiki, uchumba hapa mwanamke anajibana sana maana anajua yupo kwenye uangalizi hapa atanyenyekea na kuficha tabia zake zote...
Jana nilikuwa intanet cafe moja. Alikuja pastor akamwambia mhudumu wa cafe maneno haya: Unapaswa kumtolea Mungu sadaka ya shukrani kwa kukuumba mrembo. Nikajiuliza: Hivi kuna kitu kama hicho? Hebu...
Mimi kuna mwanamke nilitokea kumzimia kipindi fulani kutokana na mitego yake na mienendo yake ndo ivo mimi nikawa nimeshadata nikaanza yangu baada ya mda nilipigwa chini kama Gaddafi alivyopigwa...
Kuendelea kuwasiliana na mpenzi wako wazani nihatari sana nisawa sawa na kutembelea mua kama mkomgojo IPO siku njaa itakukamata uataula tu. Huo nimtizamo wangu tu
Mimi ni mwaname mwenye umri wa miaka 45, divorced, mtoto mmoja, mkristo, natafuta mwanamke mwebye umri kuanzia miaka 27 mpaka 40, mwenye sifa zifuatazo:
Mkristo, ila asiwe mlokole
Elimu kuanzia...
1.Mwanamke anaelaumu kwa kila kitu (The Complaint Box), hata umfanyie zuri lipi bado atalaumu. Huona mabaya tu, hana zuri kwake.
2.Mwanamke anayejiona amekamilika, anajihisi anaweza kufanya...
hawa viumbe sijui washatuona sisi wanaume kama mazombi yaani Dem unamwita sehemu pa nauli haifiki hata buku 2 anakuambia nitumie nauli hii yote ni asitumie tuu ela yake hivi anakuja umpe nauli aje...
Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wenye ndoa kuwaingilia wafanyakazi wao kimwili. hili ni jambo la aibu na la kusikitisha sana. wanaume wanaotenda jambo hili ni wanaume wa hovyo kabisa duniani. hawa...
Nina mpenzi wangu. Kosa aone picha ya kike kwenye simu ni shida ,zaidi ya balaa madai eti ni niwanawake zangu, I am a man bhana marafiki wakike nawa hitaji pia. Maadam huja kuta chochote kibaya...
Habari zenu
Mwenzenu huwa najisikia aibu sana lakini ni vile nimewahi kuona rafiki yangu akiwa ameibiwa na kibanda cha tigopesa fulani kama laki mbili hivi wakati alipoenda kutoa milioni mbili...
Wana jf naomba kujuzwa sababu hasa inayotufanya kuoa/kuolewa au kwa wale walio kwenye ndoa kwa nini umeoa/kuolewa?, mimi ni kijana mwenzenu ambaye nipo katika mchakato wa kutafuta mwenza, lakini...
Ndugu zangu wanajamvi habari zenu..Nimevumilia lakini nimechoka,na uvumilivu umenishinda nimeamua niseme labda mnaweza nipatia msaada wa kimawazo.Nina mpenzi na tumedumu kwa takribani mwaka mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.