Jana kijana mmoja ndg yangu anasoma hap mjini alinifata akiwa na shida na hela nimsaidie
Nilipombana pesa ni ya nini ikabid aniweke waz kuwa dem wake ni mjamzito hivyo anaenda kumtoa!!!!
Dah!! Nikakumbuka mwez uliopita alinambia kamtoa binti huyohuyo mimba
Jana nikambana vzr awe wazi akadai hiyo ni mimba ya tatu atakuwa anamtoa huyo binti! Sababu wote bado wanachuo hivyo hawajawa tayali kuzaa!!!!!
Why hamtumii njia za uzazi anadai zina madhara
Mpk sasa sijampa hiyo hela hapa hata sijui kama nitampa
Ila najaribu kuwaza huyo mdada kuna mwanaume atakuja kumuoa jaman!!! Dah!!
Why tunawaharibu iv mabinti?