Natafuta mpenzi wa kike

Natafuta mpenzi wa kike

kidonse

Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
36
Reaction score
40
Habari zenu wandugu,

Natafuta mpenzi awe na umri kuanzia miaka 25 -30 Awe mnene kiasi asiwe mfupi sana. Elimu kuanzia form 4, awe muislamu. Umri wangu ni miaka 30. Nimeajiriwa katika kampuni binafsi.

Kwa aliye tayari ani pm
 
Back
Top Bottom