Unatafuta Mchumba? Pitia Hapa

Unatafuta Mchumba? Pitia Hapa

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Ni mara elfu uolewe uoe mtu mwenye Sura mbovu
kama Kitumbua cha Kantini ya shule lakini ana akili
na Mapenzi ya kweli kuliko kuoa kuolewa na mtu
mzuri na anayevutia,watu wakakusifu umepata
chombo lakini kichwani kwake kuna uyoga na
funza...
-
Kumbuka
Mchumba ni kama nguo. Usipochagua size yako,
hata iwe nzuri namna gani hautapendeza wala
kuifurahia
......
 
mh me nilidhani kwenye huu uzi kuna wachumba!!!
 
NDOA! MCHUMBA!
Kumchunguza mtu anaejua unamchunguza!

Nikikumbuka nilipotoka..pesa halali inauma asikwambia mtu.
 
Ni mara elfu uolewe uoe mtu mwenye Sura mbovu
kama Kitumbua cha Kantini ya shule lakini ana akili
na Mapenzi ya kweli kuliko kuoa kuolewa na mtu
mzuri na anayevutia,watu wakakusifu umepata
chombo lakini kichwani kwake kuna uyoga na
funza...
-
Kumbuka
Mchumba ni kama nguo. Usipochagua size yako,
hata iwe nzuri namna gani hautapendeza wala
kuifurahia
......
Kabisaaa upo sahihi asilimia mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom