Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana MMU habari zenu. Mimi nina swali eti hili suala la limbwata lipo kweli au masimulizi?
0 Reactions
82 Replies
11K Views
Yamkini binadamu ndiye kiumbe pekee kinachofanya mapenzi kama starehe ukilinganisha na viumbe wengine. Binti avunjapo ungo hujiona anaweza kuhimili mikikimikiki yeyote ile ya dushe ilimradi tu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana mmu. Juzi hapa nilieleza mikasa ya mahusiano niliyokumbana nayo. Wana mmu walichangia mawazo na ushauri kwa wingi sana. Wengine walikuja mpaka inbox kuteta nami. Nawashukuru mno...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wadau.. Niko na GF wangu kwa takribani miaka miwili. Tumekuwa tunaenda fresh kwa kipindi chote hicho mpaka week la juzi kati alipoanza mambo ajabu ajabu. Alianza mapozi ya kijinga na kauli...
3 Reactions
275 Replies
19K Views
Hivi kuna mwanaume ambaye hajawahi kuhonga?. Kama umewahi kuhonga dau lako kubwa kabisa lilikuwa sh ngapi?
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Sidhani kama ni mimi pekee nimekumbana nalo. Anakuja mkaka anakutaka urafiki na kwenye mazungumzo unamfeel na baada ya muda unampa ok. Mapenzi yanaanza kuwaka, mapenzi yako yote na ya akiba...
12 Reactions
130 Replies
12K Views
  • Poll Poll
Habari wana jamvini, mie kuku mgeni jamani. Jana nilikuwa nawashwa sana na mkono wa kushoto na kweli hela ilinitoka sana,leo asubuhi mkono wa kulia umeniwasha sana na sasa ivi kuna mtu kaniletea...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Yeyooooo! Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni...... Mgeni anapokuja nyumbani kwako utamkaribisha kwa glass ya juice/ soda/ maji na hata chakula. Kama ataendelea kuwepo na ni mgeni mwanamke...
21 Reactions
287 Replies
19K Views
Akiongea na mimi wakati alipokuwa ziarani nchini China hivi karibuni, mwanadada huyu machachari na maarufu nchini, amesema atafungua duka la chupi zenye label ya maneno "Endless Fame" kwa upande...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Nilitafuta sana ajira hatimaye nilibahatika kupata kazi ya kutunza bustani nzuri ya maua jijini Dar es salam kwa mkataba wa malipo mazuri tu. Mkataba ulinitaka nihamie nyumbani kwa boss na...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Nina business yangu ambapo kuna dada mmoja ni incompetent sana. Nataka nimfukuze kazi shida ndo sehemu anategemea na hana pengine pa kupata kazi. Nifanyeje wakuu nimtoe kazini.
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Natanguliza heshma zangu kwenu!!hivi kwa waliooana yaani (mke na mume)katika safari ya kukutana au kabla hamjajuana na sasa ni mke na mume hivi kuna aliejua huyu ndo mume wangu au mke wangu??
2 Reactions
80 Replies
7K Views
Bwana Yesu asifiwe wapendwa, Kama tunavyojua kwamba kila binadamu anaeishi chini ya jua ana mapungufu (No one is perfect under the sun). Mapungufu yetu au weakness zetu zinatusababishia hasara...
2 Reactions
433 Replies
29K Views
Namwaga salamu nyingi kama mchanga wa bahari kwenu wana MMU, Ishawahi kukutokea hii, upo kwenye mahusiano kwa muda mrefu kidogo na mnamipango ya kuja kuishi pamoja na asilimia kubwa ya ndugu zenu...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Ukiwa na mwanamke ambaye muda wote yeye ni kujiremba, kwa maana yeye na kioo na kila anapokwenda anabeba vitu vya urembo na akifika sehemu yoyote yeye na kioo hafai kwa sababu akili yake ipo...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
*Usioe wala kuolewa kwasababu ya sex. *Usioe wala kuolewa kwa sababu tu umri wako unakuruhusu. *Usioe wala kuolewa kwa sababu umechoka kuwa single. *Usioe wala kuolewa kwa sababu umempa/umepata...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeona nilete hii mada kwenye hili jukwaa la watu wazima Hili sawla la kuremba watoto wadogo, kuwasuka rasta, kuwawekea dawa watoto wanavutwa vichwa maskini sijui ili iweje? Hapo hata utosi...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Katika kuwahurumia singo moms na wanawake wa over 30, nimejaribu kudet na watu wa type hizo na kuwapa mitihani midogo midogo lakini they have miserably failed. Ukiona mwanamke katelekezwa au...
21 Reactions
111 Replies
12K Views
Habari ya muda huu wakuu, Kwa utafiti wangu usio rasmi nimeona wanaume kwenye ndoa au walio kwenye ndoa huzeeka (hutoka barabarani) mapema zaidi kuliko wenzoa wenye umri sawa ambao hawajaoa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama itakumbukwa kuna siku niliwahi kulete thread humu kuwa nimemfumania muuza njegere na house girl wetu. Sasa hapo baadae kidogo mambo yakaisha sasa juzi yule house girl baada ya muda akaja...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom