Mkono kuwasha

Mkono kuwasha

5

  • 1

    Votes: 1 33.3%
  • 2

    Votes: 2 66.7%
  • 3

    Votes: 0 0.0%
  • 4

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    3
  • Poll closed .

G3T

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Posts
816
Reaction score
400
Habari wana jamvini,

mie kuku mgeni jamani.

Jana nilikuwa nawashwa sana na mkono wa kushoto na kweli hela ilinitoka sana,leo asubuhi mkono wa kulia umeniwasha sana na sasa ivi kuna mtu kaniletea hela.je kuna imani gani hapa?
 
Imani ni bayana ya mambo yatarajiwayo....unachoamini ndo kinachotokea
 
hela ilikutoka sh ngapi.......usije ukawa umetoa hela ya mboga nyumbani,umemalizia ada shule watoto
afu uje useme hela imenitoka jana wakati ni majukum yako yalikuwa
kakuletea hela sh ngapi....?maana inawezekana ni mdeni mliahidiana akuletee pesa leo ndo uanze na stori
za kuwashwa mikono.

hakikisha unanawa mikono na maji na sabuni inawezekana una matatizo yanayopelekea kuwashwa
mikono kila siku
 
Imani ni kuwa na imani kwa Mungu katika mambo yote.

Waebrania 10:38 "Lakini mwenye haki ataishi kwa imani naye akisita-sita Roho yangu haina furaha naye."
 
Una minyoo(abdominal worms) wewe sio bure

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kweli wewe mgeni kama ndio hivyo basi ndio hivyohivyo unavoamini mkuu na ukiwashwa kabaang usisite kutoa mkuu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom