,,,wanawake wa namna hii wanaume tutawagegeda mpaka basi
_Tamaa ya utajiri, fedha na mali nyingi pasipo kutambua
kuwa vitu hutafutwa
- Dharau, maringo, ukiwasogelea na kujaribu
kuzungumza na...
Sitapenda, sitafurahi na sitopendezwa mke wangu kuvumilia tabia zangu za ajabu ajabu zinazomkosesha raha, kumvunjia heshima na zenye kumuumiza mara kwa mara kwenye ndoa eti kisa anataka kulea...
Mwanamke mlevi hafai ndugu zangu. Ni hatari sana kuishi na mwanamke mlevi. Ni bora malaya anaweza akawa na self control ila mlevi akishapoteza tu ni hatari, atatiwa hovyo, atapigwa finger hovyo...
Wakuu
Nimebahatika kuishi na baadhi ya watu kama watu wa karibu na baadae marafiki lakini urafiki huishia pale kinachowaunganisha kinapoisha mfano nikiwa na pesa huwa nakuwa na marafiki wengi...
Wakuu hii sijui imekaje?
Nimezaliwa na kulelewa katika maadili ya kikanisa toka nipo mdogo mpaka namaliza chuo kikuu naanza kazi mpaka sasa.
Sasa nitabadilika vipi na kuanza kuwa mlevi?
Niko na...
Binti Mariamu
Weekend hii kwangu ilikuwa ya tafakuri nyingi zisizo na majibu na msongo mkubwa wa mawazo. Ilikuwa weekend yenye kuumiza na ya kujiuliza sana juu ya mustakabali wa maisha yangu ya...
Heshima mbele,
Daaah! Mwanaume unarudi home saa 3 usiku. Mwanamke kanuna. Maswali yanaanza ulikuwa wapi? Unajitetea nilkuwa na marafiki zangu tunapanga madili ya pesa. Hasa maendeleo ya ile...
Juzi mume wangu kaniambia, hapendi kufanya mapenzi kwa kufuata plani. Hapo mwanzo tulikuwa tunafanya mapenzi juma pili, juma 4 na ijumaa, siku hizi anataka kila siku, ameanza kunilazimisha na...
Habari za humu wanajamvi,
Rejea uzi huu wa tarehe 2/8/2016
Nashukuru wale wote waliochangia na kunishauri katika uzi ule. Sasa naomba niwape muendelezo wa hili.
Mnamo tarehe 1 september siku ya...
Mimi ni kijana mrefu handsome Nina miaka 30 natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya dhati na aliye serious kuishi maisha ya ndoa
Nina uelewa mpana juu ya tamaduni tofauti duniani kwani nimesafiri...
Hamjambo wadau?
Namuomba ushauri wenu wa busara. Mimi kuna msichana ambaye nilimpenda sana. Juzi nilipomwambia bayana yangu kwake kuhusu MAPENZI kwa sababu nataka kumuoa alinipatia masharti...
Jamani mm kwa maono yangu aliyebikiri ndie anaepaswa kulipa zaidi,kwa sababu muhusika anajulikana,na aliyeowa mwanamke ambaye si bikra,basi itakuwa kamstiri tu.
NILIRUDI
nyumbani na kumkuta mke wangu akiwa vilevile. Alikuwa amejilaza kitandani akiugulia maumivu ya tumbo. Nikaketi kitandani na kumsogeza karibu yangu. Nikamlaza miguuni mwangu.
Vipi Rita...
Habari za Jumapili wadau wa MMU,
Leo nilikua naomba kuwauliza walezi na wazazi wenzangu ambao tunalea watoto na tunaishi majumbani mwetu kama tunakua na ukaribu na watoto wetu ili kujua...
Habari za jioni,
Nina swali ambalo linanitatiza sana haswa pale ninapokuwa nimekaa na rafiki zangu.
"Hivi ushamla yule (kufanya naye ngono) msichana?"
Kiukweli kwa confidence huwa najibu hapana...
Natumai mu wazima jamani. Mimi naomba tujuzane juu ya kubaini kama mpenzi wako katoka kulala na mtu mwingine, utaona ishara au kitu gani mwilini mwake? Nawasilisha
Wadau wa ukumbi huu habari mda huu.
Nina mpenzi wangu ambaye moyoni nilipanga ndio aje awe mama wa watoto wangu na yeye anajuwa hivyo. Nilimpata kwa tabu sana nilimtongoza karibu mwaka mzima...
A few of my lads think that, now that I am married, I am an authority on relationships...
This is a very misguided school of thought. I know as much (little) about relationships as most...
Nipo naangalia habari kupitia Clouds Tv online,nimekutana na hii habari.
Katika idadi ya wananchi wa Tanzania,15% ndio waliofikia umri wa kujamiaana na matumizi ya condom kwa mwaka ni condom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.