Wadai sheria ya kubadilishana mke! Je, ikija Tanzania utaikubali?

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,257
12,876
Yeyooooo!

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni......

Mgeni anapokuja nyumbani kwako utamkaribisha kwa glass ya juice/ soda/ maji na hata chakula. Kama ataendelea kuwepo na ni mgeni mwanamke atalala chumba cha watoto wa kike. Kama ni mwanaume kwa watoto wakiume.

Lakini katika makabila ua OVAHIMBA na OVAZEMBA ya NAMIBIA hali ni tofauti kwani mgeni mwanaume anapofika, hukarimiwa kwa kupewa mke wa mwenye nyumba afanye naye mapenzi.

Kitendo hiko hujulikana kama "OKUJEPISA OMUKAZENDU" akimaanisha "KUMKARIMU MGENI KWA KUMPA MKEO" Wenyeji hao husema ni uungwana kwa mwanaume kumzawadia rafiki yake mke wake afanye naye mapenzi.

Wanaongeza kuwa "Ni hiyari yako kumkabidhi rafiki unayempenda alale na mkeo, kwa sababu siyo jambo la kulazimishana. Basi wanapendekeza itungwe sheria ya kuwalinda" Wanaongeza kwa kusema mfumuko wa magonjwa usiwe sababu ya kudidimiza mila na desturi zao.

SWALI: Je hii mila ingelikuwa miongoni mwa jamii zetu je ungemruhusu rafiki yako alale na mkeo??

hAPA #TeamBazazi inawahusu sana, make kila siku wangekuwa na safari zisizoisha kwa marafiki zao, mara babu Asprin anafunga safari kwenda kwa Mentor ilimradi tu apewe mke alale naye. Siku nyingine Nicas Mtei huyoooo kwa mwekundu ili akalale na mkewe, hatujakaa sawa Tyta huyo kwa Mashaxizo kumendea mkewe, yaan ingelikwua balaa nusura ya mkosi.....

Wapi.... Mtambuzi ungeruhusu KakaKiiza aje kwako umuachie Mama Ngina lale naye ili kudumisha mila??? Mkuu Excel utakubali Mama Bhoke alale na Mzee utafiti kweli????? Arushaone utamruhusu mkeo alale na Erickb52 kwa sababu ya mila na desturi zenu kudai hivyo??
DEMBA, Munkari, ladyfurahia, Passion Lady, tian, MankaM, ICHANA, Zinduna, King'asti, mandieta, tinna cute, Lady doctor, Chocs, Paloma, Kongosho, Asnam, snowhit, amu, sweetlady je mnaweza tayari kulala na marafiki za waume zenu ili kudumisha mila na desturi???
 
Kwanini hujauliza kama wanawake watakuwa tayari waume zao kulala na wageni wa kike wajapo?
Au hiyo haipo huko?


Lakini hili suala mbona wala sio hata la kuleta ligi?
Hilini suala ambalo ubinadamu tu unaamua

Kama mwanamke atakubali kwenda kumvulia nguo kila mwanaume ambae anaingia kwenye mlango wao huyo nae atakuwa hamnazo tu

Kwani ngono ni jambo "zuri" kiasi hicho?
 
ikititishwa nitaanza kuwatembelea wabunge na mawaziri kujidai kuwasifia ni wanasiasa wazuri na nitawapigia kampeni na kura ili muda wa kulala wanikarimu wake zao.
 
hahahaaaa!! charminglady, huo mchezo kwa kweli, nisingeoa mie hata kidogo!!

kila siku ningekuwa napiga route kwenda kwa Paw makusudi tu nikambambie King'asti! hahahaaaa!!!

ngoja uone ratiba kuu ambavyo ingekuwa kudadeki...

1. jumatatu ningekuwa kwa Mr Rocky, mkewe Dena Amsi mbona angenitambua mie under 20!!

2. jumanne ningefuka safari kwenda kwa utafiti nikamalizane na kukucd!

3. jumatano ningekuwa kwa Rogie nikaenjoy na Honey Faith! lols..

4. alhamisi ningekuwa kwa Tyta makusudi tu nirushe roho na Eshy m.s!!!.. dadeki!

5. ijumaa ningekwea pipa kwenda kwa Eiyer nikamkurupue Karucee!... ola la laaaa!!

6. jumamosi ningejisepea kwa Tuko! ili mradi tu Jawilat akione cha mtena kuni!...

mwisho kabisa! jumapili ningelazimisha faulo kwa kiwatengu, sosoliso na uran respectively! wake zao shansarie, Paloma na 'Valentina', ningewachezesha kiwanzenza the same day! lols..

hakika huu utamaduni uje bongo!!!
Kaizer usingekuwa na uhuru kwa DEMBA hata kidogo!

nyongeza.! hizi dogo dogo kama tian, Cyan6, Rapunzel, Swts, Sweetlicious, Lilac (huyu mtoto sijui kapotelea wapi walah), angelita.. ningekuwa nawavizia tu kwenye fence dadeki..
 
Last edited by a moderator:
charminglady utakubali kutolewa kama zawadi kwa shemeji yako..? Na mimba ikipatikana italelewa na nani..?
 
Last edited by a moderator:
Na haya magonjwaa sipati pichaa
Mi nisingeolewaa kila siku dushe mpyaa weeeee
 
Back
Top Bottom