Wanawake wa aina hii waogope kama ukoma

Wanawake wa aina hii waogope kama ukoma

noj

Senior Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
112
Reaction score
69
Ukiwa na mwanamke ambaye muda wote yeye ni kujiremba, kwa maana yeye na kioo na kila anapokwenda anabeba vitu vya urembo na akifika sehemu yoyote yeye na kioo hafai kwa sababu akili yake ipo kwenye kujiremba ili aonekane machoni vidume.
 
Yaan nyie wasipojiremba mnaanza kuponda wakijiremba ili aonekane kwa vidume sijui lipi jema kwenu
 
Yaan nyie wasipojiremba mnaanza kuponda wakijiremba ili aonekane kwa vidume sijui lipi jema kwenu
Jema Kwangu, Awe Simple Tuu...Yaan Hata Nyusi Hakuna Wanja Alaf Zipo Black Kma Kapaka Wanja.
 
Mtu kupenda kujiremba kuna ubaya gani?
Hakuna ubaya kabisa lakini inategemea na urembo wenyewe na nature ya kazi yake. Ni vigumu kufanya kazi na kucha ndefu, au viatu virefu. Labda uwe umependa na umeamua awe golikeeper.
 
Hivyo ndiyo mwanamke anavyotakiwa kufanya, ni kujiremba, kujiremba na kujiremaba tena. Na sisi wanaume tuhangaike kuhakikisha yeye na watoto wanapata mahitaji yote.
 
Ukitaka mwanamke asiyefanya hivyo labda nenda vijijin huko lkn siyo hawa wa town kwan wote wanajiremba
 
Katafute pesa huko, una kazi ya kushangaa wanawake tu, wakikuvutia unaanza kutafuta visingizio.
 
wanawake mara nyingi wanapenda kuonekana wazuri mbele ya wanawake wenzao ila kwa wanaume sio kwa sana.
 
Ukiwa na mwanamke ambaye muda wote yeye ni kujiremba, kwa maana yeye na kioo na kila anapokwenda anabeba vitu vya urembo na akifika sehemu yoyote yeye na kioo hafai kwa sababu akili yake ipo kwenye kujiremba ili aonekane machoni vidume.
We wa dunia ya ngap jmn? Mwanamke urembo na kioo lazma masaa 24. Nyie hao hao mkiona wanawake wako hovyo mnaanza kusema mwanamke hajipendi eheee mwataka nn jmn
Ngachoka mie..
 
Yaan nyie wasipojiremba mnaanza kuponda wakijiremba ili aonekane kwa vidume sijui lipi jema kwenu
Kuna kujiremba kwa kawaida, unaamka asubuhi unajiremba unaendelea na mambo yako, au unaenda ofisini wakati unatoka unajicheki umekaa vp unajiweka sawa unarudi home, lakini wengine kila baada ya saa1 au2 anajiremba.
 
Back
Top Bottom