Kabla hujaoa au hujaolewa je!!ulikuwa unajua huyo ndo mume wako au mke wako?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Natanguliza heshma zangu kwenu!!hivi kwa waliooana yaani (mke na mume)katika safari ya kukutana au kabla hamjajuana na sasa ni mke na mume hivi kuna aliejua huyu ndo mume wangu au mke wangu??
 
Utajueje mumeo au mkeo kabla ya kukutana nae sasa kwa mfano!!!! .....labda uwe malaika ndo utaweza kujua mtu kabla ya kukutana nae
 
Natanguliza heshma zangu kwenu!!hivi kwa waliooana yaani (mke na mume)katika safari ya kukutana au kabla hamjajuana na sasa ni mke na mume hivi kuna aliejua huyu ndo mume wangu au mke wangu??

Kabla sijajuana nae then iweje nijue ndo mke wangu?
 
Hilo swali lako lenyewe halijajuana na Jibu.
Sasa sie wanandoa tujibu nini

Hembu jiulize hivi kabla ya kuandika hilo Swali,unajua kwamba Jibu lake ni nini?
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Wale tulio wadhamilia ktk mapenzi ya awali are those existng wifes and husband.
 
Back
Top Bottom