Asanteni sana wana mmu

Asanteni sana wana mmu

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
1,340
Reaction score
1,378
Habari zenu wana mmu.
Juzi hapa nilieleza mikasa ya mahusiano niliyokumbana nayo.
Wana mmu walichangia mawazo na ushauri kwa wingi sana. Wengine walikuja mpaka inbox kuteta nami. Nawashukuru mno.
Baadhi ya mawazo naanza kuyafanyia kazi kisaikolojia kwa sababu bottomline ya mawazo yote ni kwamba njia ya maisha haikwepeki na mahusiano lazima yawepo tu.What a beautiful advice! Hakika naamini iko siku nami nitayafurahia mahusiano.

Nisiwachoshe, ila asanteni sana.

Miss Nai
IPO SIKU

Ukiwa na tatzo usisite kulileta humu,... Tutasoma, tutaelewa,tutatafakari na tutakushauri.

Mkuu ulivyoandika kwa hekma umenikumbusha Jf ya miaka ya 2009-2011. Japo nilikuwa naingia kama guest nilikuwa napenda sana ushauri ulivyokuwa ukitolewa.
 
Shikamoo Mimi ananikumbusha nilivyokua nasubiri uji wa Foleni kidato cha nne!
 
Hahahahaaaa afadhali hata ulikuwa unaikuta foleni. Miaka michache kabla nilikuwa na njemba za Minaki zinapita na uji saa kumi asubuhi. Ukienda saa 11 unamkuta babu anaosha sufuria kwa ajili ya maharage.
 
Habari zenu wana mmu.
Juzi hapa nilieleza mikasa ya mahusiano niliyokumbana nayo.
Wana mmu walichangia mawazo na ushauri kwa wingi sana. Wengine walikuja mpaka inbox kuteta nami. Nawashukuru mno.
Baadhi ya mawazo naanza kuyafanyia kazi kisaikolojia kwa sababu bottomline ya mawazo yote ni kwamba njia ya maisha haikwepeki na mahusiano lazima yawepo tu.What a beautiful advice! Hakika naamini iko siku nami nitayafurahia mahusiano.

Nisiwachoshe, ila asanteni sana.

Miss Nai
IPO SIKU

hako ka wimbo katamu maana nimebaki kukasikiliza tu hata sijasoma tena advice za watu
 
Back
Top Bottom