Kwa wale wanaotarajia kuoa/kuolewa

Kwa wale wanaotarajia kuoa/kuolewa

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,699
*Usioe wala kuolewa kwasababu ya sex.
*Usioe wala kuolewa kwa sababu tu umri wako unakuruhusu.
*Usioe wala kuolewa kwa sababu umechoka kuwa single.
*Usioe wala kuolewa kwa sababu umempa/umepata mimba.
*Usioe wala kuolewa kwa sababu ni mzuri au anapesa sana.
*Usioe wala kuolewa kwa sifa.
*Usioe wala kuolewa kwa sababu tu unapenda harusi.
*Usioe wala kuolewa kwa sababu eti marafiki zako wote wameoa/wameolewa.

But:
-Get married, because you want to fulfil destiny.
-Get married because you want to be a
helpmate to an imperfect person who loves & accepts you for who you are, not who you pretend to be!
-Get married becos you want to fulfil your
promises.

MY PRAYES FOR YOU:
*Mwenyezi Mungu akushike mkono katika kufanya uchaguzi wako,
Akakutenge mbali na watu ambao si sahihi kwako na akakufunulie mtu sahihi atakayekufaa kwa maisha yako yote.

Na kama upo kwenye ndoa nakuombea ndoa yako ikapate kusimama.

Kama unaami Mungu anaweza kukupatia ndoa njema na hata kukufanya ufurahie ndoa yako kwanini usiseme AMEN
 
Mungu sii Diwani kana kwamba aanze kuwashika watu mikono kizazi hiki kichafu!!!!

Aliishi pamoja nanyi mkamsulubisha!!!!

Hakuna namna, ukiokota jiwe usitarajie aligeuze liwe Dodo kisa eti unataka kula!!!

Kachume Dodo.

Mimi nasema:-
Ukitaka kujizuia usifanye uzinzi basi OA/OLEWA!!

Ukiona muda na umri wa kuoa umefika nasema Oa/olewa maana ndio wakati wa kuyafurahia maisha ukiwa kijana. Ya nini kuanza kukimbizana na dawa za kuongeza nguvu za kiume!.
 
BLAZA

Umesema kwamba mungu aliishi pamoja na sisi?????

Duh.... Kali hii.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
jogi na salaniatz mnajua vijana wa kuanzia 18-24 mtakuwa mmewachanganya saana?
Ujana maji ya moto, kuchanganyikiwa kwao ndio kujua kwao pia.

Imeandikwa "Mpende mke wa ujana wako"

Pia imeandikwa "Msiyaamshe mapenzi mpaka yatakapoona vyema yenyewe"

BIBLE HIYO MKUU.

Inaelekeza uwe na mke kingali ukiwa kijana.
Lakini tu mapenzi yakiamka!!!!

Ugumu uko wapi hapo?
 
MIMI mpaka nifike 30 ndio naoa

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Tuache unafiki uliyoyaandika yanaweza kuwa sababu pia ukaoa ukatulia kama hutaki zinaa oa/olewa na maisha ni kusaidiana kimawazo hali na mali.
 
HIzo sababu unazopendekeza za kuoa au kuolewa ni za wazungu,sababu unazozikataa ndio zetu waswahili,na ndio zimetufikisha hapa tulipo,samahani tuachie sababu zetu.
 
Back
Top Bottom