Heshima mbele,
Daaah! Mwanaume unarudi home saa 3 usiku. Mwanamke kanuna. Maswali yanaanza ulikuwa wapi? Unajitetea nilkuwa na marafiki zangu tunapanga madili ya pesa. Hasa maendeleo ya ile saccos yetu.
Swali lingine mlikuwa sehemu gani? Unamjibu tulikuwa pale Matako Bar, mwanamke anasonya then anaingia chumbani kimya.
Sasa ninyi my wife wetu mnadhani pesa ya ada au ya vipodozi zinatoka wapi bila kukutana na marafiki. Pili, hamjui kwamba mwanaume ni nje ndani? Sio kukaa ndani tuu.
Jamani wanaume wenzangu hili mnadili nalo vipii?
USIKU MWEMA