blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 129
Wakuu
Nimebahatika kuishi na baadhi ya watu kama watu wa karibu na baadae marafiki lakini urafiki huishia pale kinachowaunganisha kinapoisha mfano nikiwa na pesa huwa nakuwa na marafiki wengi lakini ikikata hatuwasiliani na hata mmoja. Wengi wao hunitafuta wakiwa na shida zinapoisha hukimbia na hatujuani mimi nikiwa na shida kila mtu hukimbia,hii imewahi kunitokea nikiwa mtaani,shuleni na maeneo mengine.Wakuu ivi urafiki bado upo au zimebaki kampani tu urafiki ulikuwepo enzi za mababu pekee toa mfano wa rafiki au marafiki ulionao au jipime yawezekana umezungukwa na kampani tu siku ikiondoka ndo utatambua karibuni tubadilishane uzoefu tulionao kwenye hili swala la urafiki na kampani..