Concluded: Ni bora kuoa mwanamke malaya kuliko mlevi

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,942
Reaction score
23,893
Mwanamke mlevi hafai ndugu zangu. Ni hatari sana kuishi na mwanamke mlevi. Ni bora malaya anaweza akawa na self control ila mlevi akishapoteza tu ni hatari, atatiwa hovyo, atapigwa finger hovyo, atashikwa shikwa hovyo nk.

Mwanamke mlevi akiwa na kiu ya bia, unamla kirahisi kabisa kwa bia moja tu. hawana aibu wala haya, anaweza omba bia kwa mtoto mwenye uwezo wa kumzaa na akimlewesha anaenda kumla.

Anyway zote hizo ni tabia mbaya ila ya ulevi kwa mwanamke ni mbaya zaidi.

VIJANA KESHENI MKIOMBA MPATE WENZI TOKA KWA MUNGU.
 
Mkuu yamekupata nini? Embu weka kilichokupata usiweke generalization
 
Utakua na ahueni kidogo kwani ulevi huchangia kujiingiza ktk ngono zembe bila kujitambua ila akiwa malaya tu ni vyema kwani atakuletea virusi kwa kujitambua.
 
Mwanamke mlevi hafai ndugu zangu. Ni hatari sana kuishi na mwanamke mlevi. Ni bora malaya anaweza akawa na self control ila mlevi akishapoteza tu ni hatari, atatiwa hovyo, atapigwa finger hovyo, atashikwa shikwa hovyo nk.

Mwanamke mlevi akiwa na kiu ya bia, unamla kirahisi kabisa kwa bia moja tu. hawana aibu wala haya, anaweza omba bia kwa mtoto mwenye uwezo wa kumzaa na akimlewesha anaenda kumla.

Anyway zote hizo ni tabia mbaya ila ya ulevi kwa mwanamke ni mbaya zaidi.

VIJANA KESHENI MKIOMBA MPATE WENZI TOKA KWA MUNGU.
Kukushauli na kukukumbusha ya kuwa kuku ni kuku jogoo ni jina.
Hakuna ya uafadhali dhidi ya tabia mbaya.
 
Ulevi huendana na umalaya (in most cases but not always)
 
Huo ndo ukweli.. Mwanamke mlevi ni tatizo. Haishiki,,,hakaliki,,hashauriki,,
 
pole sana ila heri mlevi utaweza kumtafutia ulevi mwingine
 
Malaya asiyekunywa pombe ana self control.. mwanamke mlevi hata kama si malaya ataliwa hovyohovyo... Bodaboda atapiga,, muhudumu atapiga,, tax driver atapiga,,houseboy atapiga,,bosi wake atapiga,, kila mtu atapiga
 
Hapo namimi lazima nipige....kya bure ikyo....
 
Back
Top Bottom