wikiliks
Member
- Dec 15, 2012
- 84
- 27
Mimi ni kijana mrefu handsome Nina miaka 30 natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya dhati na aliye serious kuishi maisha ya ndoa
Nina uelewa mpana juu ya tamaduni tofauti duniani kwani nimesafiri maeneo mengi,
Kwa aliye serious anifate inbox
Umri siyo ishu sana, ni namba tu
Nina uelewa mpana juu ya tamaduni tofauti duniani kwani nimesafiri maeneo mengi,
Kwa aliye serious anifate inbox
Umri siyo ishu sana, ni namba tu