Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ha ha haaaa ths is not a laughing matter Nimelala apa nacheka mwenyewe n sina wa kumshirikisha ikabd tu niwajuze wana JF I have ths guy cjui friend whatever u call him..tumekua mabeste km 4yrs...
24 Reactions
352 Replies
33K Views
Ni jambo la wazi wanawake wengi wanaangikia kwenye dimbwi la mapenzi pasipokupenda kwa sababu mbalimbali. Kuna shoga zangu wanajikuta huko sababu ya mimba za bahati mbaya, wengine kama kiki ya...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Let me Be Clear Wandugu Bado Sijaoa ila ningependa kupata Maoni Yenu mliooa Na Mliooa Mkawaacha Wake Zenu Hivi wapi Patamu zaidi Kwenye Ndoa Au Mlipokuwa katika Mahusiano .. Ukiachana Na Inshu za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarin hapa, Naamini wote humu ni wafuasi na tunaamini uwepo wa Mungu, Mungu ndiye aliyegawa mamlaka kwa viumbe wake kwa jinsi alivyoona inafaa, hakushauriana na binadamu yeyote kipindi anapanga...
12 Reactions
38 Replies
6K Views
1. Mama mkwe au wifi kujichukulia nafas ya mke ndani ya nyumba.sehem nyingine unakuta mpaka anapanga bajeti au pesa ya matumizi anataka aachiwe yeye. Unakuta mama mkwe au wifi anataka yeye ndo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajamvi... Leo nilikua nasafari ya kutoka mahala fulani kwenda mjini nikatumia usafiri wa daladala(haisi) nikawa nimepata siti ya mwisho(nyuma) tulikua watu wa nne kulia kwangu kulikua na...
15 Reactions
73 Replies
8K Views
Kila kukicha dada zetu wanalalamika kukosa shoo za kibabe. Wanaume acheni kuzingua, mwanamke anahitaji akunjwe akunjike huku mtambo ukifanya kazi yake hadi afike kileleni. Mambo ya kugusagusa na...
7 Reactions
105 Replies
13K Views
Siku zote mwanamke hawezi kupata mwanamme aliye sahihi 1.ukipata handsome kichwa chake ni empty 2.ukimpata genius yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawapo romantic hawapend kihivyo wapo rafu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Naomba tujadili hii tabia ya wazazi wengi wenye pikipiki kuwa pakia mbele watoto wadogo wa umri kati ya miaka 3-5 je hawajui madhara yake kiafya au ni dharau tu. Utaona mzazi kavaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dunia imebadilika, ukitaka kunasa watoto wazuri zamani ilikua ukiwa sharo unajua kuoga, raba, jinsi nini, yaani warembo wanakupapatikia. Balaa ila zama hizi hebu tega mtoto mkali kwenye mitandao...
3 Reactions
47 Replies
13K Views
Pamoja na ukweli kwamba wanaume hulipwa ujira mkubwa zaidi ya wanawake hata kama wanafanya kazi zinazofanana lakini utafiti wa hivi karibuni umebaini kwamba wanawake wanafanya kazi saa nyingi...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Tokea awali, yaani tokea nianze kuwa na huu mchepuko, nilihisi kuwa unaweza kuwemo humu ila umejikausha tu. Sasa leo ndo nimegundua kuwa kweli upo humu. We toto la Kinyakyusa kwa nini...
6 Reactions
108 Replies
11K Views
Kwa heshima naomba kuwasalimu nyote kwa imani yako, kabila lako, umri wako na cheo pia... Baada ya salamu naomba kushare na ninyi kama heading inavyojieleza hapo... Nimekaa hapa EXPERIENCE PUB...
1 Reactions
112 Replies
10K Views
Nakubaliana na wanaume wenzangu waliofikia hitimisho kuwa ni rahisi kupata mali ukaimiliki na kufurahia maisha kuliko kupata mwanamke ukafurahia maisha. Japo mpango wa Mungu ni wanaume waoe na...
12 Reactions
171 Replies
14K Views
Nimekuja huku kukumbushana tu maana hata mimi ukumbusho huu unanihusu. Zinaa ni uchafu na ni njia mbaya lakini wanaadamu tumeihalalisha rasmi.Sasa ni vyema tukazingatia yafuatayo; Ukizini na mara...
11 Reactions
50 Replies
6K Views
Hamjambo wanaJF, NIko na rafiki yangu mwanamme toka Mombasa anatafuta mwanamke mwenye yuko serious kuolewa na awe amesoma atleast awe na elimu ya form 4 Kenya ama Form 6 Tz.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanawake ni watu wa ajabu sana ni vema kudisclose siri zangu zote baada ya Kuoa huyu dogo wa Mchepuko ana miaka 6 sasa acha yule ninayetaka kumchukua kwa bibi yake aliyefiwa na Mama yake. Mke...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Wiki iliopita nilikutana na Ex-wangu anatokea nchi za wazungu huko. Alinitumia text kwenye Whatsapp kuwa ataingia nchini mwezi huu. Sasa kama wiki kabla hajafika tamaa za fisi ziliniingia juu ya...
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Ikitokea Mungu akaruhusu sahiz kuturudisha nyuma muda wa kuoa au akavunja ndoa hizi na kutaka watu waoe upya Je utamuoa tena huyo uliyenaye???? Kwangu mimi hapana na naamin 1/4 tu ndo wataoa...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…