Pesa kweli ni sukari ya warembo

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Dunia imebadilika, ukitaka kunasa watoto wazuri zamani ilikua ukiwa sharo unajua kuoga, raba, jinsi nini, yaani warembo wanakupapatikia.

Balaa ila zama hizi hebu tega mtoto mkali kwenye mitandao ya kijamii halafu omba namba mkichat kidogo tuu mtumie ata fifty hivi alafu mpotezee siku 2 usimtext uone atakavyokutafuta.

Hili suala nashindwa elewa kwa nini wasichana wamependa hivyo pesa. Bila pesa madem wazuri unaweza ishia kuwaita shem only.......
 
Ok Weka Picha Ya " Mademu Wazuri".
4d605491d34724b411ebd73282654c5f.jpg
ace9e9d69fac11f632e406de464097c3.jpg
 
Tatizo cyo ela.kama unajua kuwafikisha keleleni hakika watakutafuta na wana adithiana kuwa yule jamaa anajua.ndivyo ninavyowafanya.
 
hahah sa si na wao bila kujipamba na kuwa mrembo wenye pesa si wataishia kuwaita mashemaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom