Mchepuko wangu wa CBE

Mchepuko wangu wa CBE

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,450
Reaction score
145,501
Tokea awali, yaani tokea nianze kuwa na huu mchepuko, nilihisi kuwa unaweza kuwemo humu ila umejikausha tu.

Sasa leo ndo nimegundua kuwa kweli upo humu.

We toto la Kinyakyusa kwa nini unajikausha hivyo? Yaani umeunyuti unajifanya hata JF hujui inafananaje ilhali upo muda wote humu.

Ndo mambo gani sasa hayo ya kuchorana?

Madhali nishajua upo ingawa unajifanya haupo, dawa yako naikoroga.

Ila gademu...uko mzuri kupita maelezo. Toto hata kipele usoni huna. Ngozi nyororo utadhani ya mtoto mchanga.

Hakika unastahili kuwa mchepuko wa Ngabu. Vigezo na viwango vyake vyote umevikidhi kwa zaidi ya asilimia 80.

Kwako naamini nitakuwa mchepuko wa kudumu.

Toto la Kinyakyusa.....unataka kuchapwa wewe eeh[emoji8]
 
Kumbe na wewe unazidiwa akili na michepuko, bora mtulie tu njia kuu.

Si useme tu kuwa umesechi simu yake bila yeye kujua, hahahaaaa.

Ni kupatwa kwa Ngabu au? hadi unaomba husiachwe Mr wa mtu, duh kweli mahaba hayana adabu. Good luck usisahau kumsaka mwenzako nani kwi kwi kwiiii
 
Tafsiri ya mchepuko ni only kama umeoa au yeye kaolewa
kama wote hamko kwenye ndoa sio mchepuko...muite gf
Hapana...gf ni wa kutambulishwa hadi nyumbani.

Huyu kama si mchepuko basi ni cutty buddy....
 
Tokea awali, yaani tokea nianze kuwa na huu mchepuko, nilihisi kuwa unaweza kuwemo humu ila umejikausha tu.

Sasa leo ndo nimegundua kuwa kweli upo humu.

We toto la Kinyakyusa kwa nini unajikausha hivyo? Yaani umeunyuti unajifanya hata JF hujui inafananaje ilhali upo muda wote humu.

Ndo mambo gani sasa hayo ya kuchorana?

Madhali nishajua upo ingawa unajifanya haupo, dawa yako naikoroga.

Ila gademu...uko mzuri kupita maelezo. Toto hata kipele usoni huna. Ngozi nyororo utadhani ya mtoto mchanga.

Hakika unastahili kuwa mchepuko wa Ngabu. Vigezo na viwango vyake vyote umevikidhi kwa zaidi ya asilimia 80.

Kwako naamini nitakuwa mchepuko wa kudumu.

Toto la Kinyakyusa.....unataka kuchapwa wewe eeh[emoji8]
leo nilikuwa nikagegede mchepuko wangu CBE dakika za mwisho umezingua
 
Back
Top Bottom