BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Nakubaliana na wanaume wenzangu waliofikia hitimisho kuwa ni rahisi kupata mali ukaimiliki na kufurahia maisha kuliko kupata mwanamke ukafurahia maisha.
Japo mpango wa Mungu ni wanaume waoe na waishi na wanawake kwa akili lakini hawa viumbe ni tanzi! unaweza ukafikiria uoe kijijini,ukimleta mjini anakuona wewe uliyemuoa ni fala! unaweza ukaoa mjini ukaonekana unamapungufu kulinganishwa na wenzio! ukionyesha upendo mkubwa na kujari unaonekana umedhibitiwa! ukijitutumua kuwa kauzu unaonekana gaidi!.
Una mpromote mwanamke kutoka maisha ya chini akiwa anasoma/hana kazi ya maana, akikamata channel anasahau hata alikotoka! ukimtendea wema leo mwezi ujao/kesho usipofanya wema kama huo unaonekana hujari/ huna faidi, mazuri yanafutwa!
Sijawahi kusikia mwanaume asiyekili changamoto za hawa mama zetu/Dada zetu.Naamini kuna wakati huwa hawajui wanachokitaka toka kwetu sisi wanaume!